Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naweza kuundiwa roboti kwa sifa ninazozitaka?? Ngoja nitafute hela niende kwa musk nimuunde mwnyewe ninqyomtaka,kwnye tako sitawaangusha!!
 
Nashangaa mnawaza tu ngono,
Mmefikiria kuhusu nani atawaongezea uzao wenu..?
Nani atawalelea hao watoto.?
Nani watakuwa washauri na wafariji wenu hasa mkiwa mnapita katika vipindi vigumu..?
ain't any way hiyo midoli could turn your house into a home..!!
ain't no way midoli could cook your favourite food,
Could nurture you, could clean and could support and inspire you to be a better men..!
Kila mtu huwa anatamani kuwa na mtu anayempenda kwa dhati, who could love you better..??
Mkiumwa who will be there for you..? Ukute ndiyo ile hoi mpaka unajipupia kwa bed..!!🙌

Na kubwa zaidi nani atasimama nanyi katika Maombi, nani atalia na kufunga kwa ajili yenu..??

Mac Alpho
Hivyo vyote ulivyotaja ata Chartgdt anaweza fanya tena na kukuchorea, kukuimbia muziki wowote unautaka
 
Nashangaa mnawaza tu ngono,
Mmefikiria kuhusu nani atawaongezea uzao wenu..?
Nani atawalelea hao watoto.?
Nani watakuwa washauri na wafariji wenu hasa mkiwa mnapita katika vipindi vigumu..?
ain't any way hiyo midoli could turn your house into a home..!!
ain't no way midoli could cook your favourite food,
Could nurture you, could clean and could support and inspire you to be a better men..!
Kila mtu huwa anatamani kuwa na mtu anayempenda kwa dhati, who could love you better..??
Mkiumwa who will be there for you..? Ukute ndiyo ile hoi mpaka unajipupia kwa bed..!!🙌

Na kubwa zaidi nani atasimama nanyi katika Maombi, nani atalia na kufunga kwa ajili yenu..??

Mac Alpho
Watu kama nyinyi hamjawahi kukosekana kwenye Kila nyuzi hapa jf.

Daima mbele kurudi nyuma ni mwiko,. Tunatasubir hayo marobot tutoe upwiru Kwa gharama nafuu
 
Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:

1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana katerero
3.Robot hajui kuifinyia ndani
4.Robot hana joto asilia
5.Robot hana story za udaku Usiku kupiga na mumewe
Mengine wataongezea wanawake wenzangu

NB:Mwanadamu ni mwanadamu tu Yaan hafananishwi jaman
Wanaume wamechoka kuombwa hela mara kwa mara bila sababu ya msingi. Karibia kila mwanamme hapa nchini kilio chake kikubwa ni mademu wasio na akili kila wakiamka wanawaza kula tu, kuweka status Facebook na Instagram na kuomba hela bila kufanya kazi ya kujisaidia wao wenyewe na ndiyo maana wanaume wanaojitambua hawataki mahusiano ya kudumu na mademu. Ebu hata wewe mwenyewe jiulize, mwanamke una wazazi na ndugu zako na boyfriend wako ana wazazi na nduguze, wewe mwanamke kila ukiamka unafikiria kumuomba hela huyo boyfriend wako, atajijengaje kimaisha kwa stahili hii? Kumbuka, you are just a girlfriend tu, unataka utunzwe ili iweje?
 
Onhoo, mbona siyo wote tupo ivo
 
Naweza kuundiwa roboti kwa sifa ninazozitaka?? Ngoja nitafute hela niende kwa musk nimuunde mwnyewe ninqyomtaka,kwnye tako sitawaangusha!!
🤣🤣🤣🤭
 
Mi nasema hivi,acha marobot yaje ili maandiko yatimie maana siku za mwisho, wanawake 7 watamfata mwanaume mmoja hata wamgaramie wao ilimradi tu waitwe kwa jina lake....
😳🙄
 
Back
Top Bottom