Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Wala usiumize kichwa mdogo wangu, wazungu wanatambua haki za binadamu yoyote yule.
Robots za kiume zitakuwepo.... Mambo ni bambam.
50 50 inaendelea🤸🤸🤣
 
Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:

1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana katerero
3.Robot hajui kuifinyia ndani
4.Robot hana joto asilia
5.Robot hana story za udaku Usiku kupiga na mumewe
Mengine wataongezea wanawake wenzangu

NB:Mwanadamu ni mwanadamu tu Yaan hafananishwi jaman
Ndio nampigia fundi maiko hapo aje alichomelee, nimesha livunja huku!

Musk aambiwe kabisa yanayo kuja bongo land yawe yanajiweza[emoji2962][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
img_7_1685117055872.jpg
 
Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:

1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana katerero
3.Robot hajui kuifinyia ndani
4.Robot hana joto asilia
5.Robot hana story za udaku Usiku kupiga na mumewe
Mengine wataongezea wanawake wenzangu

NB:Mwanadamu ni mwanadamu tu Yaan hafananishwi jaman
ila pia robot hana ulafi wa hela
 
Yani wanaume ninachoweza kuwashauri ni kwamba, kama mmeamua kutumia hiyo midoli tumieni kwa lengo la kujifurahisha wenyewe, na siyo kwa lengo la kuwakomoa wanawake kwamba wajirekebishe hicho kitu hakiwezekani

Wanawake wa sasa hawajali tena kuhusu ndoa wala familia ukilinganisha na wa zamani, na ndio maana siku hizi ni kawaida kusikia wakiambizana wazae tu walau wapate watoto wa kuja kuwalea uzeeni, wasihangaike na wanaume tena

Yani kama mnafanya hayo kwa kuwakomoa wanawake na kutegemea watabadilika, mtakuwa dissapointed sana pale ambapo mtashangaa ndio kwanza wanatafuta njia nyingine mbadala ya wao nao kujifurahisha, kuliko kuwabembeleza ninyi au kubadilika kwa ajili yenu

Hizi zama tulizofikia siyo tena zama za kumtishia mwanamke ndoa au kufanya ndoa kuwa fimbo ya kumchapia mwanamke, na zamani kilichokuwa kinawafanya wanawake wawe desperate na ndoa ni mitazamo tu ya jamii dhidi yao, kitu ambacho kwa sasa kimepungua

Ndio maana mnaona siku hizi idadi ya single mothers inaongezeka pamoja na kutukanwa kote lakini hawajali ndio kwanza wanazidi, maana zamani wengi walikuwa wanaogopa kuzaa na kutokuolewa sababu ya maneno ya jamii tu, lakini si kwamba walikuwa hawataki sasa imagine huko tunakoelekea

Sasa hivi wameamua kutia nta masikio wanafanya wanavyojisikia na hatimaye jamii nayo imepunguza zile stereotypes dhidi ya mwanamke, na taratibu zitaenda zitaisha maana sasa hivi dunia imebadilika watu wamesoma wana exposure za kila aina, na huko tunakoelekea ndio ndoa zinazidi kupoteza umuhimu wake

So kama mmeamua kuoa midoli ndugu zangu hakikisheni mnafanya hilo kwa dhati ya mioyo yenu na si kwa kubeep na kuwasikilizia wanawake hawa wa sasa na wa kesho eti kama watabadilika nawaambia mtashangazwa, vinginevyo endeleeni kusubiria hicho kipindi ambacho sijui wanawake saba watamfuata mwanaume mmoja awaoe, (kama ambavyo wayahudi bado wanasubiri masihi wao azaliwe) wakati ukweli uko clear kabisa tunakoelekea
 
Back
Top Bottom