Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Dah Bora umekuja,kuwaeleza Hawa kina Ngoswe maana wanayangojea kwa hamu japo hawayamudu...kumbe stori zenyewe za Eloni ni ugaigai?๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Umefikiria sana inaelekea hili suala la hayo marobot limewagusa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ dah! Mnaonea wivu hadi hao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Robot ndiyo direction.
Nyie tunawaacheni muendelee na harakati za kumkomboa Mwanamke na kujikomboa kiuchumi.
Hivyo vyote ulivyosema robot hatoi umedanganywa, vyote vimezingatiwa tena vya ubora wa kale ambao hata nyie mlishaupoteza kitambo.
Kwa sasa robot inaweza kuwa bei ila baada ya muda zitakuwa kama simu za tekno tu
 
Dah Bora umekuja,kuwaeleza Hawa kina Ngoswe maana wanayangojea kwa hamu japo hawayamudu...kumbe stori zenyewe za Eloni ni ugaigai?๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

 
6.Mdoli anakubali hadi kibamia๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ