Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

kabla ya mimi kama mwanaume kuyapinga aya marobot yapaswa kuyatest kwanza uenda wakaendana na uhalisia na mwanamke, mbona nimenichukuliaga sheria mkononi kwa karibuni miaka mi4 na nilikuwa nainjoi sembuse iyo midoli adi joto inayo kabisa
 
Sawa roboti Hana kidagaa Papa lakini Kira siku kama natoa bikra wala haiitaji shabu kuoshea Kwa Bibi.........sijui mara Niko period mara umetoa namba Kwa masela mara sijui fyoko fyoko sijui tuma na yakutolea .......kwishneiiiiiiiiiiiii
 
To yeye hata usiponijibu ila hii thread yako ni dhahiri kwamba mmeanza kuwa na wasiwasi wa kukosa matumizi na mnaanza kilia njaa kwani lazima mbakie na usingo maza wenu na majukumu yenu...Robot haliwezi kuwa singo maza wa kuwa na michepuko ya kupiga vizingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…