Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Roboti ni gogo
Roboti ni maiti iliyobadilishwa jina
Roboti haipigi stori upweke upo palepale dear
Enhee, waambie waelewe.Wanaume wanaangamizwa huku wakiona
 
Mimi Clepatina nikiwa nimepiga magoti huku machozi yakinilenga lenga kwa sauti ya upole na unyenyekevu nasemajee WANAUME ZETU NAOMBA MTUSAMEHE MABAYA YOTE TUNAYOWAFANYIA WAUME ZETU VIPENZI SWEETHEARTS HANDSOMES PLEASE MSIOE MAROBOTI🤣.
Sasa mkioa maroboti sisi atatuoa nani jamani🤣.

NB:Nafikiria kwenda kuchoma moto kiwanda cha maroboti
 
Mnazo vibrators, plugs na midoli ya kila aina.
 
Aaa jamani hata usiwaplease.....waache wakafanye watakavyo....watarudi tu
 
Ningekuwa ninapesa ya waziwazi ningetoa order roboti waliClone kama Beyonce
 
hakuna kurudi nyuma😂 what's done is done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…