Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sintoshindwa Kwa anitiaye nguv
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sintoshindwa Kwa anitiaye nguv
Mbona babu zenu hawakuwa Kama ninyi?Bibi zetu walihudumiwa kwa Raha mustarehe Bila masimango....kuombwa hela Leo na kesho ni kuongezea kwa majukumuNimechukua namba yako jana, leo unaniomba hela, nikikupa io hela leo, kesho, na kesho kutwa, na mtondogoo utaniomba tena hela, kama nia yako sio kunikomoa, nia yako ni nini?
Chunguza vizuri humu mitandaoni, sio tu jamii forum, nenda nairaland, JamiiForums.com, reddit, etc utaona sisi wanaume wengi kwenye swala la mahusiano ya kimapenzi, tumewachoka wanawake, hatutaki hata kujihusisha na ninyi..tunaishia kucheza games, kunywa pombe, na kununua makahaba wanaojiuza barabarani, au kupiga nyeto Joannah
Unamfungua Kwa Face Id Mkuu Ili Masela wasije Pita nae Kama Ukiwaacha Nae.Wanasema Akiwa Na Washikaji Zako Hawezi Wapa Kitumbua Anapiga nao Story Tu.Alafu Nasikia Manyonyo Yanakuwa magumu Pia chini Kunajilock Mpaka Uweke Face Id Yako.Unamfungua Kwa password so hakuna mtu ambaye anaweza kula kitu Yako bro
Hawa wa kibongo bongo watalia kimya kimya we ngoja yafike 😁sijui niwe agent kwa east AfricaHuko Japan nasikia kimenuka, yule jamaa anayoyatengeneza anapokea simu za vitisho toka kwa wanawake wa huko maana wanaume wameweka order kama wananunua magari.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Acha kumsumbua MUNGU. Aliwapa maagizo mkakaidi saa hii inaanza kumtaja taja kwanza ni dhambi kumtaja bila sababu za msingi [emoji23][emoji23][emoji23]Sintoshindwa Kwa anitiaye nguv
Angalia tena nimetia nenokama kawaida yako [emoji23]
[emoji28][emoji28]Unamfungua Kwa Face Id Mkuu Ili Masela wasije Pita nae Kama Ukiwaacha Nae.Wanasema Akiwa Na Washikaji Zako Hawezi Wapa Kitumbua Anapiga nao Story Tu.Alafu Nasikia Manyonyo Yanakuwa magumu Pia chini Kunajilock Mpaka Uweke Face Id Yako.
Ila Kuna mahacker Wanaweza Mhack Wakawa Wanajipigia Tu,Ukirudi Unakuta Kachoka Kumbe washikaji zako Wamempiga mtungo.
Hatari Sana,Kwa usalama Usije muacha roboti wako Na Washikaji zako Wa IT Utajuta
Mvuvi katika ubora wako.hilo roboto hata lingekuwa $ 1 siwezi nunua.. kei ni kitu unique sanaa hasa inayo breed..
[emoji28][emoji28]Ntakutumia video nakwambia ujionee[emoji23][emoji23]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wabongo walivyo na uchu,mbona Hilo litatumiwa Hadi hizo siku za kuchaji huku limechomekwa chaji matokeo yake halichukui round linakufa.MP ipo wanasema unamchaji siku3 mfululizo so siku3 za charging ni kama MP
maroboti hayatoi hela😂 nyie ndo mtateseka[emoji28][emoji28]
Hata mimi ntanunua
Aaaah tena msiwaingize kabisa mababu na mabibi zetu maana nyakati zao na zetu ni tofauti.Mbona babu zenu hawakuwa Kama ninyi?Bibi zetu walihudumiwa kwa Raha mustarehe Bila masimango....kuombwa hela Leo na kesho ni kuongezea kwa majukumu
watatengeneza vibanda vya maroboti kama kulivyo na vibanda vya playstation😂Wabongo walivyo na uchu,mbona Hilo litatumiwa Hadi hizo siku za kuchaji huku limechomekwa chaji matokeo yake halichukui round linakufa.
Yaani Hadi huruma,kajawa na upweke...madude matatu hata story hayampigishi😳😳😳Hebu tazama wanaume wenzetu wakijivinjali na huyu mke mwema.
Na unaweza kuwa nayo hata matatu hayagombani maana ukewenza kwao sio tatizo. View attachment 2638548View attachment 2638545View attachment 2638546View attachment 2638549View attachment 2638547
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Namtumia video nikiwa na my wangu kitandani.[emoji28][emoji28]
Kuna Mshikaji Naskia (Mmoja wa Engineer Wa Kuyatengeneza maroboti) Alikuwa analipiga Test Kama System ya Kutune Joto la Kitumbua Iko Sawa,Akawa Anatune Akazidisha Joto Mpaka 100c kwa Bahati Mbaya.unaTune tu mkuu, unataka 37 ama 40 degrees ni wew tu
😂😄😁😆😅😆😁😁😁😄😄😄😁😁😆😅😅Umemaliza Ama....Kataa Mizinga
Kataa Gono
Kubali Roboti
Sio kila wakati hela tu muda mwingine tunataka utamu bana [emoji28](napunguza ukali )maroboti hayatoi hela[emoji23] nyie ndo mtateseka
Roboti Story LinapigaRoboti ni gogo
Roboti ni maiti iliyobadilishwa jina
Roboti haipigi stori upweke upo palepale dear
[emoji28][emoji28][emoji28] kabisa linakufa au linampiga shoti kwa babuWabongo walivyo na uchu,mbona Hilo litatumiwa Hadi hizo siku za kuchaji huku limechomekwa chaji matokeo yake halichukui round linakufa.