Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Yaani Hadi huruma,kajawa na upweke...madude matatu hata story hayampigishi[emoji15][emoji15][emoji15]
Hapo ndipo unapokosea wanaume huwa tukirudi nyumbani hatutakagi story ni nyie huwa mnatulazimisha na huwa tunaongea story ili kuwafariji na kuwapa moyo ila hatupendagi kelele.

Huwa tukifika ni kuoga, kula na kumla aliyetupikia. Sasa maisha na huyu robot yatakuwa rahisi zaidi. Ni tunapitia mgahawani tunakula, then tunarudi home kuoga na kuanza kupiga mzigo.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mshikaji Naskia (Mmoja wa Engineer Wa Kuyatengeneza maroboti) Alikuwa analipiga Test Kama System ya Kutune Joto la Kitumbua Iko Sawa,Akawa Anatune Akazidisha Joto Mpaka 100c kwa Bahati Mbaya.
Sasa Hv Yuko Hospital Dyudyu Ya Motroooo Imebabuka.
Hizi ni story za kutunga ambazo zinatungwa na Feminists ili kuharibia soko la my wetu huyu robot ila wanaume tunajua hizo ni fitina na hazitutishi.

Bora kubabua dudu na umeme kuliko kubabua dudu na gonorea.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ndio hii?
FB_IMG_1685295275607.jpg
 
Aaaah tena msiwaingize kabisa mababu na mabibi zetu maana nyakati zao na zetu ni tofauti.

Bibi zetu walikuwa na roho nzuri sana na ukarimu plus hawakuwa na tamaa ya pesa na mali. Wangekuwa hivyo basi kusingekalika.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ni nyakati tu zimebadilika binamu,Ila mambo ni yaleyale,in those days hakukuwa na hela,Ila ili Bibi afurahi lazima ale nyama hivyo babu ilibidi aingie porini Kila nyama inavotakiwa kumletea Bibi,Bila kujali hatari za porini,na babu hakuwahi kulalamika kabisa....Ila Sasa Nyie ni walalamishi mnoo mmeamua Sasa mkimbie majukumu mnunue vinyago visivyokula Wala kunywa ili msihangaike kuvitunza🙆
 
Sio kila wakati hela tu muda mwingine tunataka utamu bana [emoji28](napunguza ukali )
Sijawahi kutana na mwanamke wa hivyo Tanzania labda kama wanapita mbali. Ila najua mwanamke wa kitanzania wa sasa anataka kulipwa kuwa katika mahusiano usipomlipa hayo mahusiano yatageuka mateso kwako mwanaume.

TUMECHOKAAAAAAAA TUNATAKA ROBOTS TUISHI KWA AMANI NA KUWA HURU NA STDs.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ni nyakati tu zimebadilika binamu,Ila mambo ni yaleyale,in those days hakukuwa na hela,Ila ili Bibi afurahi lazima ale nyama hivyo babu ilibidi aingie porini Kila nyama inavotakiwa kumletea Bibi,Bila kujali hatari za porini,na babu hakuwahi kulalamika kabisa....Ila Sasa Nyie ni walalamishi mnoo mmeamua Sasa mkimbie majukumu mnunue vinyago visivyokula Wala kunywa ili msihangaike kuvitunza🙆
Mnatutapeli sanaaa ndio maama
 
Jaribu hizo silicone pussies ndio utaelewa. The texture is super smooth kuliko hata baadhi ya milupo bro.
haitakaa itokee kumma ya robot izidi kei ya mwanadamu.. Mungu mwisho wa break uumbaji wake ni perfect kabisaa.. huyo mzungu mpiga helaa tu 😅
 
Ni nyakati tu zimebadilika binamu,Ila mambo ni yaleyale,in those days hakukuwa na hela,Ila ili Bibi afurahi lazima ale nyama hivyo babu ilibidi aingie porini Kila nyama inavotakiwa kumletea Bibi,Bila kujali hatari za porini,na babu hakuwahi kulalamika kabisa....Ila Sasa Nyie ni walalamishi mnoo mmeamua Sasa mkimbie majukumu mnunue vinyago visivyokula Wala kunywa ili msihangaike kuvitunza🙆
Kuwinda sio sawa na kuombwa hela kila kona😀 mind u!
 
Back
Top Bottom