Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Hapo ndipo unapokosea wanaume huwa tukirudi nyumbani hatutakagi story ni nyie huwa mnatulazimisha na huwa tunaongea story ili kuwafariji na kuwapa moyo ila hatupendagi kelele.Yaani Hadi huruma,kajawa na upweke...madude matatu hata story hayampigishi[emoji15][emoji15][emoji15]
Huwa tukifika ni kuoga, kula na kumla aliyetupikia. Sasa maisha na huyu robot yatakuwa rahisi zaidi. Ni tunapitia mgahawani tunakula, then tunarudi home kuoga na kuanza kupiga mzigo.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app