Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Ni nyakati tu zimebadilika binamu,Ila mambo ni yaleyale,in those days hakukuwa na hela,Ila ili Bibi afurahi lazima ale nyama hivyo babu ilibidi aingie porini Kila nyama inavotakiwa kumletea Bibi,Bila kujali hatari za porini,na babu hakuwahi kulalamika kabisa....Ila Sasa Nyie ni walalamishi mnoo mmeamua Sasa mkimbie majukumu mnunue vinyago visivyokula Wala kunywa ili msihangaike kuvitunza[emoji134]
Sasa wewe hapo muda huu nikuletee nyama ya ngiri si utanibalasa nayo utasema unataka kitimoto cha Kazimoto Park and grill. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
wanawake vita hii sijui ka mtashinda mlikuwa mnapigana na mashoga ambao wamechukua nafasi zenu roboti nazo zimeingia duh kazi mnayo sijui ka mtashinda vita hii
 
Sijawahi kutana na mwanamke wa hivyo Tanzania labda kama wanapita mbali. Ila najua mwanamke wa kitanzania wa sasa anataka kulipwa kuwa katika mahusiano usipomlipa hayo mahusiano yatageuka mateso kwako mwanaume.

TUMECHOKAAAAAAAA TUNATAKA ROBOTS TUISHI KWA AMANI NA KUWA HURU NA STDs.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
I repeat no STD on that muhfuqin poo.. Sey!!! 😀
 
Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:

1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana katerero
3.Robot hajui kuifinyia ndani
4.Robot hana joto asilia
5.Robot hana story za udaku Usiku kupiga na mumewe
Mengine wataongezea wanawake wenzangu

NB:Mwanadamu ni mwanadamu tu Yaan hafananishwi jaman


Tit for tat na nyie fanyeni mpango mtengenezewe Robbot zenu za kiume.🤣🤣
 
Kuwinda sio sawa na kuombwa hela kila kona[emoji3] mind u!
Me ukinambia hapa nichague kati ya wake wawili, m'moja anapenda kuletewa nyama pori ambayo nimewinda mwenyewe na hawa chuma ulete wa kuomba pesa bila ratiba maalumu mimi nitachagua huyo wa anayewindiwa nyama.

Nitakuwa kila wiki nipo mikumi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza technology za huyo Elon muwe nazo makini miezi ya nyuma hapo karusha li space X lake limelipuka bado wewe kulipukiwa au kubanwa kichakatio uanze kusumbua madaktari wa Mloganzila 😁😁😁
No ile haina umeme on dat nany 😀 strictly sillicone!
 
Back
Top Bottom