Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Tena sasa mashoga wameamua kujiboresha wanakwenda kujiupgrade maungo yao wanaweka breast implants na kujitengeneza wanakuwa 99% wanawake kasoro dicks tu.

Akisimama hapa ukaambiwa huyu ni mwanaume by nature utakataa.
wanawake vita hii sijui ka mtashinda mlikuwa mnapigana na mashoga ambao wamechukua nafasi zenu roboti nazo zimeingia duh kazi mnayo sijui ka mtashinda vita hii
Hebu jionee mwenyewe. Huyu unaambiwa ni mwanaume utakubali vipi hapo na akikutaka unachomoaje kwa mfano?!

Sasa huyu ndio competition ya wanawake wa sasa.
IMG_20230528_115457.jpg
View attachment 2638595

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tena sasa mashoga wameamua kujiboresha wanakwenda kujiupgrade maungo yao wanaweka breast implants na kujitengeneza wanakuwa 99% wanawake kasoro dicks tu.

Akisimama hapa ukaambiwa huyu ni mwanaume by nature utakataa. Hebu jionee mwenyewe. Huyu unaambiwa ni mwanaume utakubali vipi hapo na akikutaka unachomoaje kwa mfano?!

Sasa huyu ndio competition ya wanawake wa sasa. View attachment 2638596View attachment 2638595

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mbona ana misuli migumu hivyo?
 
Mwanaume atakayeenda kununua robot na kulifanya kuwa mke huyo ni zaidi ya taahira, ana mtindio wa ubongo, ana laana na mwisho kabisa hajiamini.....!

Hivyo wanawake msijali wanaume halisi hawawezi kuacha warembo na kwenda kugegeda limashine la kuchaji
 
Ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah kweli hii vita kila silaha itumike.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣Kuchukuliwa waume zetu mchezo? Avengers watutolee movie moja Kali sana,bifu Kati ya robot na binadamu kugombania mume....
Sterling Angelina Jolie,mume Idris Alba au Will Smith na lirobot limoja Angelina alivunjevunje mwisho wa movie
 
Kwanza technology za huyo Elon muwe nazo makini miezi ya nyuma hapo karusha li space X lake limelipuka bado wewe kulipukiwa au kubanwa kichakatio uanze kusumbua madaktari wa Mloganzila 😁😁😁
Habari nyingi mtandaoni zinazomhusu Elon Musk, ni hoaxes. Zinatengenezwa na wazushi kwa msaada wa Artificial intelligence. Hii ni pamoja na stories za kujenga hotel kitalii kule sayari ya Mars na pia uzushi kuhusu kutengenezwa kwa robot wives. Of course stories za namna hii ni sensational na watu wengi wanazipenda, lakini ni za uongo.
 
Mwanaume atakayeenda kununua robot na kulifanya kuwa mke huyo ni zaidi ya taahira, ana mtindio wa ubongo, ana laana na mwisho kabisa hajiamini.....!

Hivyo wanawake msijali wanaume halisi hawawezi kuacha warembo na kwenda kugegeda limashine la kuchaji
Acha wivu na roho mbaya. Wanaume halisi ndio wepi hao?!

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom