Naona wajuaji wameshaanza kulivalia njuga sakata la WCB na Harmonize

Goodwill

Brand ya Harmonize ina thaman ya kama Ml 700 hv

WCB wamehusika ktk kuijenga hyo brand,

Ukimuacha Harmonize, na nyimbo zake kama asingekuwa associated na WCB leo hii asingekuwa na thaman aliyo nayo

Kama unabisha mfuate Jux, au hata wasanii wakali kama Navy kenzo au Barnaba, Ben paul na wengine wenye nyimbo kali zaidi ya Harmonize, waulize kama wameshawah jaza uwanja nchi nyingine Kama South Sudan.

Kinachomtofautisha msanii mzuri mwenye Wimbo mzuri na msanii mwenye jina kubwa ,lenye uwezo wa kuleta mamilion ya pesa ni uwekezaji ktk brand

So WCB wana haki ya kumtoza goodwill amount Harmonize, Goodwill aliyo ipata kwa kujihusisha nao kwa miaka yote

Ni ishu ya kawaida, kwenye biashara, mambo ya partnerships ,merger and acquisition etc etc

Harmonize anajua hilo na ndo maana kakubaliana nao, na analipa

It's is official na it's on record kuwa Brand ya Harmonize ina thamani ya Million mia tano.

Ni kitu ambacho Harmonize anaweza kukitumia kama basis ya valuation ya ukubwa wa brand yake on his next business negotiations deal.
 
Kabla ya kutolewa na wcb hamonize alikua na idea tu ya muziki hata mwandishi usingetaka kumsikiliza, alipofikishwa wcb alikaa miaka miwili akifundishwa muziki bila yeyote kumjua hakuingiza chochote wcb na hadi alipokua amewiva mkataba hakusaini kwa kushinikizwa alipewa akaupeleka kwa wazazi wake na watu wenye ufahamu wiki nzima ndio kuja kuusaini. Swali kwako kama kiwango alichofikia hamonize angeondoka tu bila chochote kulipa nani angechekwa!? Video tatu za mwanzo zaidi ya tsh milioni Mia moja zilitumika. Kwenye hili hujatafiti umeongelea mkataba Felix wakati hujui ilikuwaje kwenye kumtengeneza
 
Uzuri mchezo una dk90 tu.. waendelee mkumpigia promo hata kama akija kushuka!
 
Kama alijua hayo yote na akasign akiwa na akili timamu asipige kelele alipe
Katika miaka yake miwili tu ya ubunge kufikia 2022 atakuwa amesharudisha hiyo 500m na faida juu.

Angeendelea kukaa na wale wakora JPM asingemuona wala CCM wasingemkabidhi mikoba ya John Komba
 
Yaaani watu ni mambumbu ko lili kuwa hili li harmonize ni likipofu au laaaaah maana kama ni kunyonywa si linge kataaa mapema maana lingeamua kuchomoka tangu rich mavoko analalamika ananyonywa limeniboa daaaaah...!
😂😂😂😂😂😂
 
Tutoleeni ujingaujinga lipa pesa toa ngoma kali pesa yako itarudi tu malumbano malumbano yann? Au unatafuta kiki harmonize namkubali rakni kwa hili lakwenda unalialia kila Media unaniangusha
Balaaaaa
 
Mwanafunzi tangu nasoma sijawahi ona curriculum inayo mtetea tofauti kama hajafanya mtihani apewe special kwa sbb maalumu na zingine chache sana

Usikae ukawaza magufuri atasaini sheria itakayo mshitaki baada ya kuwa ametoka madarakani ata kama amefanya kosa, siku zote jilinde ww ndo umfikirie mwenzio.
Fafanua vizuri mkuu,nimeachwa Solemba
 
Katika miaka yake miwili tu ya ubunge kufikia 2022 atakuwa amesharudisha hiyo 500m na faida juu.

Angeendelea kukaa na wale wakora JPM asingemuona wala CCM wasingemkabidhi mikoba ya John Komba
Duuuuuu
 
Goodwill

Brand ya Harmonize ina thaman ya kama Ml 700 hv

WCB wamehusika ktk kuijenga hyo brand,

Ukimuacha Harmonize, na nyimbo zake kama asingekuwa associated na WCB leo hii asingekuwa na thaman aliyo nayo

Kama unabisha mfuate Jux, au hata wasanii wakali kama Navy kenzo au Barnaba, Ben paul na wengine wenye nyimbo kali zaidi ya Harmonize, waulize kama wameshawah jaza uwanja nchi nyingine Kama South Sudan.

Kinachomtofautisha msanii mzuri mwenye Wimbo mzuri na msanii mwenye jina kubwa ,lenye uwezo wa kuleta mamilion ya pesa ni uwekezaji ktk brand

So WCB wana haki ya kumtoza goodwill amount Harmonize, Goodwill aliyo ipata kwa kujihusisha nao kwa miaka yote

Ni ishu ya kawaida, kwenye biashara, mambo ya partnerships ,merger and acquisition etc etc

Harmonize anajua hilo na ndo maana kakubaliana nao, na analipa

It's is official na it's on record kuwa Brand ya Harmonize ina thamani ya Million mia tano.

Ni kitu ambacho Harmonize anaweza kukitumia kama basis ya valuation ya ukubwa wa brand yake on his next business negotiations deal.
Barikiwa saana kwa uchambuzi mzuri mkuu 🙏🙏
 
Kama Harmonize na Wasafi wangekubaliana idadi ya nyimbo au albamu, wala wasingeingia kwenye mgogoro. Wangeachana salama. Kama kungekuwa na idadi ya nyimbo anadaiwa, Harmonize angeingia studio kumalizia. Miaka 20 au 10 ya nini? Saini idadi ya nyimbo, zikitimia, kama kuna haja, mnasaini tena.
Huyu jamaa mweupe sana kwenye tasnia ya burudani ingawaje mara kwa mara amekuwa akiandika!!!

Ukweli ni kwamba, HAKUNA MTAKABATA wa kutoa idadi ya nyimbo/album bila kutaja muda!!!

Mikataba inavyokuwa ni kwamba, mathalani utaambiwa "...5 Years Term" na ndani ya muda huo, Msanii atatakiwa awe ametoa idadi ya Album/Nyimbo X.

Na mara nyingi kama sio zote, nyimbo zinazozalishwa (known as Master Recordings) zinakuwa ni mali ya label unless otherwise stated. Kibongo bongo, rejeeni kesi ya Saida Carol na FM Studio (Mzee Mutta)!!

Sio Bongo tu, ni juzi tu hapa Taylor Swift aliandika:-
For years I asked, pleaded for a chance to own my work. Instead I was given an opportunity to sign back up to Big Machine Records and ‘earn’ one album back at a time, one for every new one I turned in. I walked away because I knew once I signed that contract, Scott Borchetta would sell the label, thereby selling me and my future. I had to make the excruciating choice to leave behind my past. Music I wrote on my bedroom floor and videos I dreamed up and paid for from the money I earned playing in bars, then clubs, then arenas, then stadiums.
Kwahiyo sentensi ya kwanza tu, unaona nyimbo alizokuwa anatengeneza Taylor zilikuwa ni mali ya Big Machine Records!!!!

Sasa ukitaka umiliki wa nyimbo urudi kwako msanii, hapo ndo pale unapopewa masharti! Kwa Taylor kwa mfano, yeye hata hiyo opportunity hakupewa lakini akaambiwa kama unataka, saini mkataba mpya na masharti yake itakuwa kila unapotoa album kwa ajili ya label, tutakupa fursa ya wewe kutoa albamu ya kwako!!

Na Taylor alifanya kazi na Big Machines kwa zaidi ya miaka 10, na ameondoka amesaini Universal mwaka jana tu hapa!!

Sasa tunaporudi kwa Harmonize, yeye alipewa fursa ya kutumia nyimbo zake alizotengeneza na Wasafi... atatumiaje, ndo hapo anavunja mkataba na kutakiwa kulipa 500M na hivyo kuwa na haki ya kutumia nyimbo zake!!!

Ni mwehu tu ndie anaweza kusema 500M ni pesa nyingi sana kwa level aliyofikia Harmonize na nyimbo alizotengeneza akiwa Wasafi! Pale alipo ana thamani ya zaidi 500M kama label mpya inaamua kumchukua!! Kwa maana nyingine, leo kwa mfano Sony wakisema wamchukue Harmonize, hawawezi kumpa chini 500M... NO WAY!!!
 
Huyu jamaa mweupe sana kwenye tasnia ya burudani ingawaje mara kwa mara amekuwa akiandika!!!

Ukweli ni kwamba, HAKUNA MTAKABATA wa kutoa idadi ya nyimbo/album bila kutaja muda!!!

Mikataba inavyokuwa ni kwamba, mathalani utaambiwa "...5 Years Term" na ndani ya muda huo, Msanii atatakiwa awe ametoa idadi ya Album/Nyimbo X.

Na mara nyingi kama sio zote, nyimbo zinazozalishwa (known as Master Recordings) zinakuwa ni mali ya label unless otherwise stated. Kibongo bongo, rejeeni kesi ya Saida Carol na FM Studio (Mzee Mutta)!!

Sio Bongo tu, ni juzi tu hapa Taylor Swift aliandika:-Kwahiyo sentensi ya kwanza tu, unaona nyimbo alizokuwa anatengeneza Taylor zilikuwa ni mali ya Big Machine Records!!!!

Sasa ukitaka umiliki wa nyimbo urudi kwako msanii, hapo ndo pale unapopewa masharti! Kwa Taylor kwa mfano, yeye hata hiyo opportunity hakupewa lakini akaambiwa kama unataka, saini mkataba mpya na masharti yake itakuwa kila unapotoa album kwa ajili ya label, tutakupa fursa ya wewe kutoa albamu ya kwako!!

Na Taylor alifanya kazi na Big Machines kwa zaidi ya miaka 10, na ameondoka amesaini Universal mwaka jana tu hapa!!

Sasa tunaporudi kwa Harmonize, yeye alipewa fursa ya kutumia nyimbo zake alizotengeneza na Wasafi... atatumiaje, ndo hapo anavunja mkataba na kutakiwa kulipa 500M na hivyo kuwa na haki ya kutumia nyimbo zake!!!

Ni mwehu tu ndie anaweza kusema 500M ni pesa nyingi sana kwa level aliyofikia Harmonize na nyimbo alizotengeneza akiwa Wasafi! Pale alipo ana thamani ya zaidi 500M kama label mpya inaamua kumchukua!! Kwa maana nyingine, leo kwa mfano Sony wakisema wamchukue Harmonize, hawawezi kumpa chini 500M... NO WAY!!!
🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom