Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Bush Lawyer [emoji3]Jamaa aliyeandika hiyo makala nmemdharau mpaka mwisho
Ni chizi na kichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bush Lawyer [emoji3]Jamaa aliyeandika hiyo makala nmemdharau mpaka mwisho
Ni chizi na kichaa
Mbona wachezaji wanakua na mkataba wa miaka mitano ,anaipa timu makombe ,lakini akivunja mkataba anatakiwa kuilipa timuKwa maana hiyo, kila mia iliyoingia, WCB walipata na Harmonize alipokea chake kulingana na makubaliano ya mgawanyo wa mrabaha. Mwaka mmoja na nusu baadaye, Harmonize ili awe huru, analazimika kulipia gharama za matengenezo ya wimbo.
Swali, WCB wanarejesha fedha ambazo waliingiza kutokana na wimbo huo? Haukuwa mkataba mzuri. Harmonize alisaini wakati huo kwa sababu alikuwa hajui kitu. Leo anafahamu kila kitu.