kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!