Naona wazee wa kudandia treni wameachia ya Corona sasa wamedandia ya sukari!

Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.

Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni

Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.

Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?

Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!

Chadema inakuuma nini roho?
Haikusanyi kodi wala kufanya maamu
zi
KWANZA nenda kanywe dawa kabudi kawaletea
 
Mkuu unamaanisha ulichonijibu?,
Kiasi kwamba wewee unaweza ukajikuta inatengeneza tu kitu ambacho hujui ni cha nini?

Unajua unachoongea we dogo, yeye kakuambia rangi nyekundu ni rangi kama rangi nyingine tu, na akakupa mfano wa bendera ya simba. Je hao simba nao wana bendera nyekundu kwa hiyo tafsiri yako ya kitoto na siasa maji taka?
 
Watanzania msiwe na hofu ....Kuna shehena ya sukari inaletwa kutoka jamhuri ya watu wa chato
 
Chadema inakuuma nini roho?
Haikusanyi kodi wala kufanya maamu
zi
KWANZA nenda kanywe dawa kabudi kawaletea

Ahaaaa ahaaaa, eti dawa imeletwa kisha inasemekana itafanyiwa majaribio ya miezi 6 ndio itumike, wakati huo huo Kabudi profesa mzima kainywa bila kufanyiwa majaribio!
 
kadema wana bahati mbya sana, hawajawahi kudandia hoja ikawaokoa....au kwasababu hawavumill mpaka mwisho?
 
Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.

Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni

Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.

Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?

Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Kweli aise! Maana cdm ndiyo wamefanya sukari imeadimika

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri husika anatakiwa awajibike, swala la sukari limekua tatizo sugu, Karibia kila mwaka linajirudia. Haiwezekani tuna miradi ya ma trilioni tuna hangaika na sukari.Mambo mengine madogomadogo wahusika hawako makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya wanasiasa haya usiyaamini hata siku moja!
 
Mm kura yangu inaenda CHADEMA naona kazi kubwa wanayofanya kuwatetea wananchi.
Asitokee zwazwa yeyote kunipangia katika hilo.
Huku nilipo Sukari inapatikana kwa taabu kubwa na ukiipata Kilo 1 ni Tsh 3500-4000.
Kura ishapotea kabla hujapiga!
 
Shukuruni hii nchi bado uwelewa wa watu wengi ni mdogo. Sio ishu za kudandia hv sukari kweli kilo elfu 6 watu wakae kimya tu
Zitto hajawahi nunua sukari 6000 asikukaririshe maneno kama kasuku!
 
Kipindi kile cha miezi sita ya mwanzo, field marshal wako sukari ilimshinda baada ya kuipandisha mwenyewe. Bei ya sukari ya sasa ni matokeo ya hatua zake mbovu. Ameingia madarakani sukari ilikuwa sh 1700/ sasa hivi ni sh 3500. Huo u field marshal unaompa unampa tu kwasababu wewe ni mpiga filimbi. Hamna kitu hapo. Tena nimjuavyo mimi ni mtu asiyena huruma kwa raia wake. Hawajali hata kidogo, labda nyie wapiga filimbi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli hata kidogo hiki ulichoandika!
 
Usijaribu kuhamisha tatizo kutoka kwa serikali kwenda kwa chama chochote.

Mkuu aliwahi kunukuliwa akisema kuwa akiwa Rais, tutalimia meno. Ndo tumeanza hivo. Hii dhahiri hakujiandaa kabisa kuendesha hii nchi, bali kuhakikisha tunalimia meno. Uji/chai tunakunywa bila sukari- kulimia meno, ajira hakuna-kulimia meno, Corona limeingia yeye chimbo- kulimia meno.

Ukweli ni kwamba, watetezi wa serikali tujitathmini kama tuna mwingine wa kumlaumu katika hili sukari zaidi ya serikali yenyewe. Mi sioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chama ndio kinachosimamisha serikali!
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
EXpnjfXXQAAvh7f.jpg
 
Mkuu, uelewa wanao Sana, Ila ni nchi ya watu wastarabu Sana, na ndiyo Maana kampeni zetu utaskia maneno yanasemwa, Unataka vita hutaki, basi watu woyooo! Vita hatutaki!!

Basi kama hutaki, usichachugue Chama fulani, Maana watu wake ni watu wakorofi, wanakimbia Bunge, wanaongea mpaka mishipa inawatoka, mara sijui bendera Yao inaashiria umwagaji wa damu, Wakati tulipata Uhuru Kwa Amani, basi mambo kibao

Lakini kweli, Ile rangi nyekundu kwenye Chama hicho huashilia nini bandugu?

Lakini hili la sukari ni jipu
Litatumbuliwa tu liwe limeiva au bichi bila ganzi!
 
Back
Top Bottom