Naona wazee wa kudandia treni wameachia ya Corona sasa wamedandia ya sukari!

Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.

Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni

Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.

Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?

Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Wewe ni mpuuzi . Unataka hata watu wakifa wasiseme'!, wasipopandIshiwa mishahara wasiseme tena hata kwa mujibu wa sheria!, wakijua kuwa makonda hana vyeti wasiseme, wakiibiwa kura wasiseme? Na sasa CORONA 19 Wasiseme?
Huyo field MARSHAL unayejitapa nae ndiye anayeleta maamuzi ya Kipuu...z mpaka sukari inaadimika. FIELD MARSHAL ANAKWENDA JUJIFICHA VICHAKANI VITA IKIWA INAENDELEA? ULIZA OKELO ALIKUWA WAPI WAKATI WA MAPINDUZI YA UNGUJA NDO UTAJUA MAANA YA FIELD MARSHAL.
MTU ANATEMBEA NA MAUZIO YA CHUMA HATA AKIENDA MALIWATO UNAMWITA FIELD MARSHAL?
Japo tunaju uwezo wako wa akili lakini kuwa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.

Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni

Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.

Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?

Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Hata Titanic walisema ni meli isiyoweza kuzama.

Wakaendelea kupiga na kucheza muziki mpaka meli ilivyokuwa inazama.

Angalia usije kuwa unapiga muziki wakati Titanic yetu CCM inazama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba mnatia huruma sana.... ni knock down moja baada ya nyingine.
 
Unajua unachoongea we dogo, yeye kakuambia rangi nyekundu ni rangi kama rangi nyingine tu, na akakupa mfano wa bendera ya simba. Je hao simba nao wana bendera nyekundu kwa hiyo tafsiri yako ya kitoto na siasa maji taka
Hahaha, Dogo!! Basi siku ingine isiwe unapaniki Endapo unaongea na Kaka yako dogo, halafu ni kitambo Dogo, siku hizi umeacha kucheza kombolela!?
 
Mnakuja na vijiswali vya kitoto hata tukihoji sukari inakuwaje ipande bei kiasi hicho hamshindwi kutetea. Penye ukweli tuwe wakweli
 
Fuatilia comments zangu kuhusu sukari mkuu ndo utajua, Mimi na wewe tunatofautiana vitu vidogo sana,

Wakati wewe ukidharau kila kinachofanyika, Mimi naunga mkono na kukemea na Kisha kushauri vitu ambavyo kama binadamu wanaweza kujisahau Kwa kuwa duniani sote ni bidamu, tunaudhaifu kama alionao M/kiti wako ama mtu yeyote mkuu, hata wewe
 
Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.

Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni

Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.

Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?

Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
We jamaa unajua kushushua dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Titanic walisema ni meli isiyoweza kuzama.

Wakaendelea kupiga na kucheza muziki mpaka meli ilivyokuwa inazama.

Angalia usije kuwa unapiga muziki wakati Titanic yetu CCM inazama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ya ufipa kila uchao mabaharia wanatangaza kustaafu na kuhamia meli za jirani!
 
Back
Top Bottom