Naona wazee wa kudandia treni wameachia ya Corona sasa wamedandia ya sukari!

Chadema inakuuma nini roho?
Haikusanyi kodi wala kufanya maamu
zi
KWANZA nenda kanywe dawa kabudi kawaletea
 
Mkuu unamaanisha ulichonijibu?,
Kiasi kwamba wewee unaweza ukajikuta inatengeneza tu kitu ambacho hujui ni cha nini?

Unajua unachoongea we dogo, yeye kakuambia rangi nyekundu ni rangi kama rangi nyingine tu, na akakupa mfano wa bendera ya simba. Je hao simba nao wana bendera nyekundu kwa hiyo tafsiri yako ya kitoto na siasa maji taka?
 
Watanzania msiwe na hofu ....Kuna shehena ya sukari inaletwa kutoka jamhuri ya watu wa chato
 
Chadema inakuuma nini roho?
Haikusanyi kodi wala kufanya maamu
zi
KWANZA nenda kanywe dawa kabudi kawaletea

Ahaaaa ahaaaa, eti dawa imeletwa kisha inasemekana itafanyiwa majaribio ya miezi 6 ndio itumike, wakati huo huo Kabudi profesa mzima kainywa bila kufanyiwa majaribio!
 
kadema wana bahati mbya sana, hawajawahi kudandia hoja ikawaokoa....au kwasababu hawavumill mpaka mwisho?
 
Kweli aise! Maana cdm ndiyo wamefanya sukari imeadimika

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno ya wanasiasa haya usiyaamini hata siku moja!
 
Mm kura yangu inaenda CHADEMA naona kazi kubwa wanayofanya kuwatetea wananchi.
Asitokee zwazwa yeyote kunipangia katika hilo.
Huku nilipo Sukari inapatikana kwa taabu kubwa na ukiipata Kilo 1 ni Tsh 3500-4000.
Kura ishapotea kabla hujapiga!
 
Shukuruni hii nchi bado uwelewa wa watu wengi ni mdogo. Sio ishu za kudandia hv sukari kweli kilo elfu 6 watu wakae kimya tu
Zitto hajawahi nunua sukari 6000 asikukaririshe maneno kama kasuku!
 
Si kweli hata kidogo hiki ulichoandika!
 
Chama ndio kinachosimamisha serikali!
 
Litatumbuliwa tu liwe limeiva au bichi bila ganzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…