kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
-
- #41
Mbowe anaifanyia majaribio kabla ya kuwaruhusu ufipa muitumie!Chadema inakuuma nini roho?
Haikusanyi kodi wala kufanya maamu
zi
KWANZA nenda kanywe dawa kabudi kawaletea
Itafahamika tu!
NenoSukari si tatizo, tatizo ni busara ndogo, vitisho,jazba,dharau na matamshi viongozi waandamizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upuuz mtupu huuYupi sasa kati ya mleta uzi au aliyemjibu mleta uzi!
Wewe ni mpuuzi . Unataka hata watu wakifa wasiseme'!, wasipopandIshiwa mishahara wasiseme tena hata kwa mujibu wa sheria!, wakijua kuwa makonda hana vyeti wasiseme, wakiibiwa kura wasiseme? Na sasa CORONA 19 Wasiseme?Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Mwenyekiti Mbowe hataki kutangaza tu lakini yeye ndio mtu wa kwanza kuifuata kisiwani!
Hata Titanic walisema ni meli isiyoweza kuzama.Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Nyie ndio mnatuangusha sn. Watu tunanunua sukari elfu afu sijui unaongea nnZitto hajawahi nunua sukari 6000 asikukaririshe maneno kama kasuku!
Siwezi kubishana na ww ila tu najua safari yetu bado ni ndefu snMkuu unamaanisha ulichonijibu?,
Kiasi kwamba wewee unaweza ukajikuta inatengeneza tu kitu ambacho hujui ni cha nini?
Hahaha, Dogo!! Basi siku ingine isiwe unapaniki Endapo unaongea na Kaka yako dogo, halafu ni kitambo Dogo, siku hizi umeacha kucheza kombolela!?Unajua unachoongea we dogo, yeye kakuambia rangi nyekundu ni rangi kama rangi nyingine tu, na akakupa mfano wa bendera ya simba. Je hao simba nao wana bendera nyekundu kwa hiyo tafsiri yako ya kitoto na siasa maji taka
Mnakuja na vijiswali vya kitoto hata tukihoji sukari inakuwaje ipande bei kiasi hicho hamshindwi kutetea. Penye ukweli tuwe wakweliHahaha, Dogo!! Basi siku ingine isiwe unapaniki Endapo unaongea na Kaka yako dogo, halafu ni kitambo Dogo, siku hizi umeacha kucheza kombolela!?
Fuatilia comments zangu kuhusu sukari mkuu ndo utajua, Mimi na wewe tunatofautiana vitu vidogo sana,Mnakuja na vijiswali vya kitoto hata tukihoji sukari inakuwaje ipande bei kiasi hicho hamshindwi kutetea. Penye ukweli tuwe wakweli
Huyo "Field Marshal" wako siyo mwanasiasa??Maneno ya wanasiasa haya usiyaamini hata siku moja!
We jamaa unajua kushushua dah!Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Kumbe sukari ipo bei ya chini sana!Nyie ndio mnatuangusha sn. Watu tunanunua sukari elfu afu sijui unaongea nn
Awamu ya tano haijawahi kukwamishwa wala kushindwa never!Lumumba mnatia huruma sana.... ni knock down moja baada ya nyingine.
Commander In Chief kakimbia office. Mwambie arudi mjini tuchape kaziAwamu ya tano haijawahi kukwamishwa wala kushindwa never!
Mwanasiasa asimamie ukweli sio wale wezi wa posho!Huyo "Field Marshal" wako siyo mwanasiasa??
Labda ya ufipa kila uchao mabaharia wanatangaza kustaafu na kuhamia meli za jirani!Hata Titanic walisema ni meli isiyoweza kuzama.
Wakaendelea kupiga na kucheza muziki mpaka meli ilivyokuwa inazama.
Angalia usije kuwa unapiga muziki wakati Titanic yetu CCM inazama.
Sent using Jamii Forums mobile app