Lakini wapinzani walivyotaka lockdown walijua sukari itapatikana wapi?
Dunia si imefungwa mkuu? Sukari tunaagizia wapi??
Lockdown hali si ingekuwa mbaya, hilo trailer tu
..kabla ya covid19 dunia ilikuwa haijafungwa.
..serikali ilipoona ugonjwa umeanza China ilichukua hatua gani za maandalizi?
..tulitakiwa tujiandae kwa kuhakikisha tuna bidhaa muhimu za kutosha kama nafaka, sukari, mafuta, etc kwa kuzingatia uwezekano wa supply lines kukatika.
Whaaat!!
Naomba uzi wako wewe personal, post ambayo ulikumbusha hilo
Je CCM kuna mtu anatia pesa zake mfukoni ku support chama? Je CCM wao hawapati Ruzuku? na Je HAO Chadema wadandia hoja ndo wameficha sukari?. je mnasubiri nini kuwapeleka mahakamani?Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Etii!
Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Kikwete aliwacha sukari kilo moja sh 1800-leo hii ni sh 4000-Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Msiwazingizie chadema au mabeberu sakata hili la sukari
kipara kipya,
Kwann msitume jeshi lijaze sukari mitaani Kama mlivofanya kwenye korosho
Naona umeibuka kutoka gamboshi kwenye kikao chenu cha kamati kuu ya wachawi!Kikwete aliwacha sukari kilo moja sh 1800-leo hii ni sh 4000-
In God we Trust
Dish limeyumba wewe!Wewe ushazoea kunywa matapu tapu hivyo chai kwako ni kachumbali na pilipili kwa wingi ili kutoa loki.
In God we Trust