Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Right Way In Light

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2024
Posts
1,322
Reaction score
3,461
Toka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hizi siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.

Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.

Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".

Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.

Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.

Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.

Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.

So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.

Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.

Mungu awabariki
"Maranatha".
 
Kama nakuona ulivyokuwa unaandika huu uzi usiku wa manane.
1000013039.jpg

Anyway kupanga ni kuchagua
 
Pol
TOka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hiz siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.

Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.

Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".

Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.

Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.

Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.

Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.

So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.

Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.

Mungu awabariki
"Maranatha".
Pole Sana bro ,nafeel hali unayopitia ,Mungu akuongoze mkuu
 
Back
Top Bottom