Masikhala siyo mazuri hasa kwenye ndoa. Najua unataka ku prove kwamba unaweza, lakini ita ku cost sana. Najua unataka kumonyesha kwamba unaweza kuliko anavyokuchukulia lakini itawa cost sana.
Ndoa ni kitu kingine, hivyo mnapaswa kuilinda kama mboni za macho yenu.
All this ni utoto nakwambia, hata kama wewe ni mtu mzima. Kabla hamjaachana mnapaswa kukaa na muongee maisha baada ya kuachana ,kabla hamjaachana. Hapo ni pagumu sana. Unaweza kudhani ni rahisi lakini siyo rahisi hata kidogo.
Nyie mnaweza hata msilale pamoja lakini mkawa mnaishi nyumba moja ni tofauti na kuachana. Tena mna watoto hata kama ni wakubwa inasumbua sanaa akili.
Kakae ufikiri upya, Uvumilivu kwenye ndoa siyo ujinga.