Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
unajiwekea kinga😂 whi knows tomorow?? Inaweza ikaja zamu yako kurogwa kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajiwekea kinga😂 whi knows tomorow?? Inaweza ikaja zamu yako kurogwa kesho
Ni kwel mkuu, nimekuelewa. Tatizo tunaheshimiana nao sana hawa watu na sikuona vizuri kutowafabya atleast wamjue mdogo wao, maana hawamjui katika mapana haya wasije mezeahwa maneno tofauti. Ao nikaona niwape facts ili kama wanataka uhakika waulizane na mdogo wao. Mimi am done nao kwa amani, si unajua , tayar ni ma aunts wa wanangu hawa alreadyMkuu,Mbona Una hangaika sana?Mke ni wako,familia yako,Dada zake wanahuskajie?Dawa ya Mke msumbufu ni mke mwenzake.Nothing less,Nothing More.Utakufa na Presha na Sukari uache wanao wakiteseka bila baba.
Ahahaha kwanini mkuu.?Pole sana. Kuna watu mbingu tutaisikia redio Maria.
Ahsante sana mama angu.Pole.
Pole mwanangu.
Mkuu,Ushauri wangu ni simple sana?Mambo ya ndani ya nyumba na Mkeo ni yenu wawili yawe mazuri au mabaya.Peopoe should not know what goes on inside your bedroom.Iko hivi,Unapowaeleza watu shida za mhusiano yako hasa ndugu zake usifikiri kwamba unawashawishi kwamba ndugu yao ni mbaya.wao wanaona tu kwamba umemchoka sasa unamtafutia sababu.Ni kwel mkuu, nimekuelewa. Tatizo tunaheshimiana nao sana hawa watu na sikuona vizuri kutowafabya atleast wamjue mdogo wao, maana hawamjui katika mapana haya wasije mezeahwa maneno tofauti. Ao nikaona niwape facts ili kama wanataka uhakika waulizane na mdogo wao. Mimi am done nao kwa amani, si unajua , tayar ni ma aunts wa wanangu hawa already
To cut the blah blah short ni kwamba umechelewa sana kuchukua uamuzi, one point ujue she is/was your wife I mean yours only not your parent's or anyone else. Kwa kuwa umeamua kupitia processes za vikao kikubwa make sure uamuzi wako usiyumbishwe na mtu yoyote. Wewe ndiyo unaishi naye so whatever the fvck she put you through ni wewe pekee unaye-feel the level it pains you kumtima kwako, deep inside your heart.TOka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hiz siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.
Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.
Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".
Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.
Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.
Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.
Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.
So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.
Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.
Mungu awabariki
"Maranatha".
Sure ndio maana nakwepa sana kulala usingiz pamoja. So watoto wakisha lala huwa natoka Libary kufanya kaz zangu wasije ona hii halimKwa suala la uzinzi ni right on the spot unapiga chini , mwanamke anayeenda kutombwa nje ya ndoa yake ni hatari kuliko sumu
Nimekuelewa mkuu. Ahsante.Mkuu,Ushauri wangu ni simple sana?Mambo ya ndani ya nyumba na Mkeo ni yenu wawili yawe mazuri au mabaya.Peopoe should not know what goes on inside your bedroom.Iko hivi,Unapowaeleza watu shida za mhusiano yako hasa ndugu zake usifikiri kwamba unawashawishi kwamba ndugu yao ni mbaya.wao wanaona tu kwamba umemchoka sasa unamtafutia sababu.
Unachofanya kwa sasa hivi ndo unashusha heshima yako na ya familia yako.Kuwekwa kikao ni kushushiwa heshima ya kiwango cha juu.Nina rafiki yangu mmoja aliitwa kwenye kikao kuhusu masuala ya Ndoa?Mke akaeleza kwamba sijua ABC mpaka Z.Jamaa akawaangalia akasema tu 'Ndugu yenu Mvivu na Mchafu Chumbani Akiwa msafi na Mbunifu nitatulia" Mpaka Leo wakiletwa kesi ya Jamaa hakuna nayetaka kabisa kusoge karibu.Wanajua kabisa Jamii hapendi ujinga ujinga.
Kuishi na mwanamke au mwanaume kunahitaji kuvumiliana katika mengi sana.Ila sasa Mapungufu ya mwenzako ynapoanza kuathiri maisha yako na mahusiano yenu mnapaswa ama Mpeane Nafasi ya kupumua au Muachane kabisa.Ila sio mkusanye watu kujadili mambo yenu ambayo hata hayawahusu
Kwenye hili nakubali wazi kuwa nimechelewa sana mkuuTo cut the blah blah short ni kwamba umechelewa sana kuchukua uamuzi,
Tuliza moyo ndugu.Kuachana uzeeni kuna athari zake.Mtulize mama watoto myatulize.TOka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hiz siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku.
Namtafakari sana wife baada ya juzi kunitumia tishio kwa mara nyingine ya 5 katika miaka yetu 15 ya mahusiano na 11 ya ndoa takatifu.
Tishio lake ni lile lile "TUACHANE", "IT'S OVER".
Imagine ni mwanamke ndiye amekua frontline kunitisha tisha na haya maneno kila mara tunapopishana na yeye akiwa sababu.
Nimempuuzia kwa mara nyingi za kutosha but i think this time, nitachukua hatua.
Nimemvumilia kwenye mengi sana, na yeye kwao dada zake wanamchukuliaga kama perfect example. Sijawah kumu expose madhaifu yake meeengi sana ambayo kwa mwanaume yoyote (average) hangeweza kuchukuliana nayo.
Sijawahi kuya report kwao, wala kwetu. Sasa this time hiz red flags nimeona zinatosha na nikaamua kufanya decision kuwa "LET IT BE OVER FOR REAL NOW".
Kashani bip kwa muda mrefu, sasa nikisema nisubiri kupigiwa, yasije yakanikuta ya Hezbollah leaders, kupokea simu zenye vilipuzi, nikafa mazima.
Nikaamua kuwajuza dada zake woote kuhusu nini kimetokea juzi, wakawa hawataki kukubali kuwa ni kweli. Licha ya kuwatumia screen shot japo wametingishika vya kutosha.
Nime make the second move.
Kwakua hawaamini, na hawajamjua mdogo wao kwa jinsi ninavyomjua mimi, nimeamua kuwapa classified top secret file japo nikaondoa baadhi ya vipengele tata wasijedondosha simu zao wanapofingua ujumbe baada ya kuupata.
Why have i done this?
am boldly trying to make them realize kuwa this very time it is gona be over for real.
Niko nawaza tu kuhusu wanangu hapa hawa wanne (4) Mungu aliotujaalia ni namna gani nita handle. Juzi nilifikia uamuzi wa kumfukuza home (na nikampa nguo zake asepe) ila akawahi kumpigia maza home mkoani kuhusu yeye kufukuzwa na mimi, mama akanipandia hewani kuniomba(huwa ananijua mwanae nikoje nikishavurugwa). Nikamkatalia maza kata kata.
Baada ya dakika 10 naona simu ya dingi. Sasa huyu ni kamanda kwel kwel, ni wale mafaza wakoloni, neno lake ni sheria na haongei mara 2. Huyu kwake na utu uzima wangu, nakua mdogo kama pilitoni.
akasema neno moja tu "sitaki kusikia hilo suala mpaka nitakapo kuja tulizungumze" ,hivyo yan, kisha akakata simu.
So hapa nasubiri kikao na wazee na hapa, niitaweka msimamo wangu wazi kuwa siko tayar kuendelea.
LOoking forward for that meeting, nimemchek mwamba wangu mmjoa tulisoma CS one class kwasasa yeye ni afisa uhamiaji, nikamuomba anipe muongozo wa ku hack na ku track call, videos and messages zoote , kitu ambacho sikuwah kutaka kufika huko before but now kwakua nishaamua kumwaga na mimi mboga, najua nitaambulia some evidences huko zinisaidie kwenye kikao na wazee kama ushahidi mbali na files zangu nilizoziandaa tayari.
Ahsanteni.
Niwatakie alfajiri njema na jumapil njema.
Acha nianze kujiandaa kwaajil ya kufika ibadani.
Mungu awabariki
"Maranatha".
All the bestSure ndio maana nakwepa sana kulala usingiz pamoja. So watoto wakisha lala huwa natoka Libary kufanya kaz zangu wasije ona hii halim
Maana who knows? Asije akanichoma kisu bure au akanimwagia mafuta ya moto 😆.
Kiukwel niko kwenye wakat mgumu sana.
Maana unajuaje mtu anachokuwazia rohoni mwake?? Mtu ambaye tayar yuko tayar muachane? Unafikir anaweza akafurahi akuache salama???
Kamanda kama huhitaji kushare hizi mbanga humu?Ahahahahah... hayo ni top secret yatakuja next time mkuu. Kwa leo hapana