Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Kwakweli haya mambo ya ndoa za watu si ya kuingilia

Kama kuna uwezekano wewe nyamaza,kama ni kuachika ajiachie yeye mwenyewe

Mambo ya tracking na vingine usisubutu kufanya,utakufa kwa presha siku si zako,just drop it

Naangalia jinsi ya kuokoa watoto tu hapa

Kingine unahusisha watu wengi sana kwenye issue za ndoa yako...hao dada zake,sijui maza,sijui dingi,etc..achana nao

Mi hua naamini hakuna mtu anaeweza kukuelekeza cha kufanya kwenye mambo yako binafsi,hao watu wote wanakua irrelevant tayari

Inaonesha unamuogopa dingi yako sana,its strange,why?
 
Inaonesha unamuogopa dingi yako sana,its strange,why?
DIngi angu ni mtata sana, yukogo hivyo yan toka tunakua. He is 72 now very energetic like yuko 50s kulingana na nature ya shughul zake. So licha ya kumueheshimu, ila kuna mambo mengine still bado namuogopa kinamna flan.. ni mzazi so hii kitu huwa ina happen tu kama ujuavyo sisi generation ya 80' kurud nyuma.
 


Usikubali kuwekwa kikao kabisa. Kikubwa mwambie huyo mkeo kuwa ombi lake la kuachana umelifanyia analysis na majibu yametoka ni ndiyo umekubali muachane na umtake haraka sana aondoke.

Mwanamke akikuambia tuachane maana yake wewe sio wake tena ameshampata mwanaume mwingine na unatakiwa umjibu upesi "sawa nimekubali ombi lako la kuachana" alafu unakaa kimnya. Kosa umechukua muda mrefu sana kutoa majibu na bado unataka kukosea kuwekwa chini kwenye kikao cha kipuuzi.. sasa hivi unachotakiwa kufanya haraka ni kupanga mikakati ya namna ya kuishi na hao wanao wa nne na kuandikisha watoto mirathi haraka ili kuepusha kugawa mali kwa huyo ma-layer ( na muita hivyo cz sio mkeo tena ni vile haujui) . Na upange mkakati wa kuweka house girl mzuri na umjaki ili akutunzie wanao. Kuhusu kupata nyapu na kushauri sasa uwe baharia na karibu chmani ila kula kwa uangalifu mkubwa umeme na utapeli wa waziwazi upo huku duniani
 
Mbona mimi Hilo neno la tuachane nalisema sana na sina lolote uko nje ni yeye tu, mtuelewe tu wanawake
Basi hilo neno unalosema sana kuna siku litakugharimu mno, ni suala la muda tu.

Kumtisha mwenza kuwa muachane ni hatari maana mwenzio atajua kumbe hamna future ya pamoja, so lazima ataanza kujitenga kwa mambo kadhaa na atajitahidi kutafuta mbadala wako kimya kimya. Akishanogewa huko atafanya kweli chap kumbe wewe ulikuwa unatania. Ni kama tu kumtishia mtu kuwa utamuua, hata kama haupo serious lazima atajihami
 
Yah sure . Na ndio maana hata mimi nimelivumilia mara zoote 4 ila hii ya 5 nimeona hii sasa ni serious. Sipaswi kulipuuzia
 
Mkuu,
Ulivyomtimua reaction yake ilikuwaje, aliomba msamaha? Alikuomba kurudi?
Hakuomba msamaha wala hakujigusa so hata wazee walipo fosi aingie ndani, chumban aliingia kulala saa 7 za usiku mda wote yuko sitting ana chat.!.
Sasa hapo mkuu unahitaji course ili uelewe kuwa this now is serious?????
 
Nimekusoma
 
Tuachane!!
Mwanamke akiniambia hivi kabla hajamaliza ntampatia jibu hapo hapo
Hiyo ni sifa ya mwanaume
Ukianza kujiuma uma tu kama mwanamke mwenzake basi umekwisha
Mwambie aende na achukue vya kwake hata akienda kuprocess kugawana mali gawana mali bila pingamizi lolote anachokistahili mpatie achana nae
 
Nakushauri umtimizie haja ya moyo wake ya kuachana naye kama hutaki kufa kabla ya wakati wako.
 
mke awe wa ndoa au unaishi nae kienyeji akikutamkia kwa kinywa chake neno TUACHANE, bila kushurutishwa au hata kwa UTANI, MUACHE yani ACHANA NAE. ukiendekeza kumyenyekea ujue IMEKULA KWAKO. jua kuwa neno tuachane ameshaliwaza akilini mwake mara milion elfu.
 
Duh dunian kweli watu tunafanana Kwa mengi,hii story yako mkuu kama nimekutumia uniandikie aisee,tofaut ni hapo kweny vikao tu mm sijafikia huko Bado ila wanawake aisee🙌
 
Wacha wee!!

Dearest concerned Tanzanian, what gives you that much authority anyway?
 
Mkeo alikuji nn mkuu baada ya kuuliza?
She was soo much disturbed, na halikua swali la mara moja au 2 au 3. So hakuwah kuweza kunijibu zaod ya kusema "sasa haya ni maswali gani au nikueleweje?"
Ni mpaka mama alipokuja na picha zangu ambazo sikuwah kuzijua. Alipoziweka mezani aahh sikuuliza mara 2
 
Sio mwanaume tu. Mimi ni ke, alikuwa anapenda kuliongea hilo neno, kama vipi tuachane. Mbona nilimuacha kweli. Niliita mjumbe nikaondoka na kila kilicho changu ili asije kusema nimetoroka na kumuibia.
Baada ya kuondoka ndugu zangu wakaitisha kikao cha kuhitimisha kuachana. Sikutaka sijui usuluhishi maana niliona hakuna mtu wa kubadilika pale.
That was the end
Ndoa ikavunjwa mahakamani
 
Okay, say hello to the other Angels on your side.

Hatari sana.



Indians na Betting machines zao wakiwekeza kwenye ndoa na odds zake, ni mavuno tu wallah!

So sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…