Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Umefeli sana kaka mkubwa.. Tuanze na hapo kuwatumia Dada zake screen shot yani hyo ni dhairi inaonyesha ww ni dhaifu ndio maana umetaka approval kwa Dada zake na kuwasibitishia kuwa ww huna makosa bali ni ndugu yao..kama umeona ana ku disrespect kupitiliza Unarudisha tu kwao ataenda kujieleza mwenyewe.
Kungine
 
Shalom mtumishi

Hongera kwa maamuzi magumu


Wanawake huwa ni wapuuzi sana wewe ni kama mimi wanawake huwa wanatuchukulia wanaume wapole kama watu dhaifu sana

No turning back shikilia hapo hapo

Lea wanao hilo nikushauri sana

Na usiingie kwenye mahusiano mapya mzee

Kama unaweza piga nyeto tafta sabuni piga nyeto kwa sasa hata ukizidiwa vipi usitafte mwanamke ( kuna siku utanielewa)

Kunywa maji fanya kazi zako hio story usiwasimulie sana watu

Iache tu wakikuuliza sema ndivyo ilivyo ishia hapo

Ila lea wanao... Utapata mwanamke baadae sana na usimpe kabisa story za mwanamke aliyepita ila mwambie tu nlifanya maamuzi magumu mpe kwa ufupi atajua sasa upoje
Hapo kwenye kupiga nyeto, ni ushauri wa kipumbavu sana ,acha ufala
 
Yaani malaya aendelee kuhifadhiwa ndani na kulishwa ili awe free sasa kufanya umalaya wake kama bwai bwai mzee kuna maisha hata maada ya kuacha mbona sisi wengine tuliweza move on...!
Kama kamuhifadhi kwa miaka 15, anashindwa nini kuendelea kumuhifadhi? kama ni magonjwa wote wanayo, sasa anataka amuachie nani?
 
Usimpoteze, mawazo yako hayafaihata kidogo and I'm writing this from my own experience. Me and my wife we're now clocking 23yrs but I was in a terrible, awkward and miserable relationship before I met her. My first born from my first relationship is now a grown-up dude but if I would have forced myself to 'stick' sidhani kama ningekuwa hai yaani the frustrations she used to put me through ni balaa, kufa kwa sonona au kutokuwa sawa mentally would have been an obvious aftermath.
I guess you will live forever man.
 
Hajacheza mbali mkuu. Mwanamke ukiona anakubabaishabkila saa tuachane wewe jua tu kuna mwamba huko anatikisa nyavu kibabe. Na hil si kwamba sikulihisi, ni vile niliamua kuwa mpole na kujifnya mjinga.
Sasa kwakua anataka sana, bas acha apewe tu hiyo liberty
Ndoa zenye kudumu huonyesha mwanzo wakati munaanza maisha, ukianza kuona red flag mapema chukua hatua mapema, vyenginevyo utakuwa unapoteza muda wako bure tu, mahusiano hayalazimishwi hata Kama lengo ni kila mtu kutimiza shida zake usiharibu kufosi utajutia. Pole sana kaka
 
Ndoa zenye kudumu huonyesha mwanzo wakati munaanza maisha, ukianza kuona red flag mapema chukua hatua mapema, vyenginevyo utakuwa unapoteza muda wako bure tu, mahusiano hayalazimishwi hata Kama lengo ni kila mtu kutimiza shida zake usiharibu kufosi utajutia. Pole sana kaka
NI kwel. Shukran sana
 
kesi yetu ime base zaid huku. Japo sijawah mkamata red handed, ila nina vithibisho kadha wa kadha katika history toka 2012 mpaka sasa ambapo nimeamua kuvitafutia proof ukiachana na message ambazo nilizikamata those days way back
Anza na DNA za watoto, matokeo yanaweza kumaliza kesi kirahisi sana😂😂😩
 
Kama ndo hivyo hata hio mitoto Wenda sio wako
Ahahahah..kwa watoto am sure ni wangu.
Mwanagu wa 3 wa kiume pekee ndio nilimpatia mashaka, alizaliwa mweupeeee wakat mimi na yf wote weusi.
Ile kitu ikanitesa sana. Niliongea na mama kuhusu hilo akasema acha tu akue, alipokuja kumuona akasema huyo ni mwanao. Maza alikuja mpaka na picha zangu za utotoni sana.
Na dogo kadir siku zilibyokua zinakata na weupe ukawa unaondoka.
Huyu ndio alinitimgisha na hata wife alijua kabisa na nikawaga namueleza huyu mtoto vipi? Mbona sikuelewi??
 
Back
Top Bottom