Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
- Thread starter
-
- #321
Lakin sasa kuachwa ni uamuzi ulio nje yake. Kwa hilo hana namnaNasubiri mrejesho wa icho kikao ila nabet kuwa hamtaachana. Mkeo anaonekana ana trick nyingi na hatakubali kuachwa
Kwamba msamaha uwe "sustainable and tolerable"... Ni vyema iwe two ways street eventhough not perfect but at least consider other side feelings.Ukisoma ushauri jamii forum hasa wa masuala ya Ndoa usipokuwa makini utaachana na mwenza wako Kwa masuala ambayo mngeweza kuyamaliza mkiwekana chini... Jamani Ndoa si lelemama inahitaji ukomavu wa akili na msamaha endelevuu
Neno TUACHANE likafanya muachane kweli? Kulikuwa na underlying factors, hilo neno lilikuwa hitimisho tu.Sio mwanaume tu. Mimi ni ke, alikuwa anapenda kuliongea hilo neno, kama vipi tuachane. Mbona nilimuacha kweli. Niliita mjumbe nikaondoka na kila kilicho changu ili asije kusema nimetoroka na kumuibia.
Baada ya kuondoka ndugu zangu wakaitisha kikao cha kuhitimisha kuachana. Sikutaka sijui usuluhishi maana niliona hakuna mtu wa kubadilika pale.
That was the end
Ndoa ikavunjwa mahakamani
Ukiona anasema hivyo kuna mfululizo wa matukio. Mtu hawezi sema tuachane from no whereNeno TUACHANE likafanya muachane kweli? Kulikuwa na underlying factors, hilo neno lilikuwa hitimisho tu.
Kwa hiyo mkapigana chini kila mtu akaanza upya? Mbona ni mtihani mkubwa sana, mlikaa kwa ndoa mda gani?Ukiona anasema hivyo kuna mfululizo wa matukio. Mtu hawezi sema tuachane from no where
Ndio. 7. Kuanza upya kwa amani ni bora zaidi kuliko kuishi kwa maumivu. Afya yangu ya akili ni muhimu zaidi ya kila kitu. Hakuna atakaye kujali kama hujijali mwenyeweKwa hiyo mkapigana chini kila mtu akaanza upya? Mbona ni mtihani mkubwa sana, mlikaa kwa ndoa mda gani?
Sasa watoto je? Ni kweli afya ya akili ni bora kuliko chochote, ila sasa afya ya hao watoto, saikolojia yao, future yao bila wazazi wote..sorting all this inahitaji divine power.Ndio. 7. Kuanza upya kwa amani ni bora zaidi kuliko kuishi kwa maumivu. Afya yangu ya akili ni muhimu zaidi ya kila kitu. Hakuna atakaye kujali kama hujijali mwenyewe
Sasa watoto je? Ni kweli afya ya akili ni bora kuliko chochote, ila sasa afya ya hao watoto, saikolojia yao, future yao bila wazazi wote..sorting all this inahitaji divine powwqter.
Watoto kulelewa kwenye familia yenye migogoro wanaathirika zaidi. Kuna njia nzuri za kulea watoto kwa pamoja na wakakua vizuri tu.Sasa watoto je? Ni kweli afya ya akili ni bora kuliko chochote, ila sasa afya ya hao watoto, saikolojia yao, future yao bila wazazi wote..sorting all this inahitaji divine power.
Hongera, hope yote yaliisha poa na kila mmoja anaishi vizuri, na hasa watoto wameelewa namna mpya ya kuishi.Watoto kulelewa kwenye familia yenye migogoro wanaathirika zaidi. Kuna njia nzuri za kulea watoto kwa pamoja na wakakua vizuri tu.
Kila mmoja na maisha yake kwa sasa. Ni uamuzi ambao sikuwahi kuujutia.Hongera, hope yote yaliisha poa na kila mmoja anaishi vizuri, na hasa watoto wameelewa namna mpya ya kuishi.