Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Ukisoma ushauri jamii forum hasa wa masuala ya Ndoa usipokuwa makini utaachana na mwenza wako Kwa masuala ambayo mngeweza kuyamaliza mkiwekana chini... Jamani Ndoa si lelemama inahitaji ukomavu wa akili na msamaha endelevuu
Kwamba msamaha uwe "sustainable and tolerable"... Ni vyema iwe two ways street eventhough not perfect but at least consider other side feelings.
 
Hayo maneno wengine tumeshaambiwa mara 1000 inafika. Kumbe ulioa bila kuwajua wanawake wewe. Bila kumpuuza mwanamke huwezi kuishi nae.
 
Haya ndo madhara ya kuoa masista Duh, mtu ameolewa but still anataka awe kama Binti anayetafuta mchumba. Ndo maana kuna mwimbaji mmoja aliwah kuimba Uzuri wa mwanamke sio sura na umbo bali ni tabia. Ila akajisaliti mwenyewe na kuishia kupigwa na kitu kizito
 
Sio mwanaume tu. Mimi ni ke, alikuwa anapenda kuliongea hilo neno, kama vipi tuachane. Mbona nilimuacha kweli. Niliita mjumbe nikaondoka na kila kilicho changu ili asije kusema nimetoroka na kumuibia.
Baada ya kuondoka ndugu zangu wakaitisha kikao cha kuhitimisha kuachana. Sikutaka sijui usuluhishi maana niliona hakuna mtu wa kubadilika pale.
That was the end
Ndoa ikavunjwa mahakamani
Neno TUACHANE likafanya muachane kweli? Kulikuwa na underlying factors, hilo neno lilikuwa hitimisho tu.
 
Kama ni Muslim hakikisha unaoa mke zaidi ya mmoja mwisho wa kunukuu.
 
Neno TUACHANE likafanya muachane kweli? Kulikuwa na underlying factors, hilo neno lilikuwa hitimisho tu.
Ukiona anasema hivyo kuna mfululizo wa matukio. Mtu hawezi sema tuachane from no where
 
Ukiona anasema hivyo kuna mfululizo wa matukio. Mtu hawezi sema tuachane from no where
Kwa hiyo mkapigana chini kila mtu akaanza upya? Mbona ni mtihani mkubwa sana, mlikaa kwa ndoa mda gani?
 
Kwa hiyo mkapigana chini kila mtu akaanza upya? Mbona ni mtihani mkubwa sana, mlikaa kwa ndoa mda gani?
Ndio. 7. Kuanza upya kwa amani ni bora zaidi kuliko kuishi kwa maumivu. Afya yangu ya akili ni muhimu zaidi ya kila kitu. Hakuna atakaye kujali kama hujijali mwenyewe
 
Ndio. 7. Kuanza upya kwa amani ni bora zaidi kuliko kuishi kwa maumivu. Afya yangu ya akili ni muhimu zaidi ya kila kitu. Hakuna atakaye kujali kama hujijali mwenyewe
Sasa watoto je? Ni kweli afya ya akili ni bora kuliko chochote, ila sasa afya ya hao watoto, saikolojia yao, future yao bila wazazi wote..sorting all this inahitaji divine power.
 
Sasa watoto je? Ni kweli afya ya akili ni bora kuliko chochote, ila sasa afya ya hao watoto, saikolojia yao, future yao bila wazazi wote..sorting all this inahitaji divine powwqter.

Sasa watoto je? Ni kweli afya ya akili ni bora kuliko chochote, ila sasa afya ya hao watoto, saikolojia yao, future yao bila wazazi wote..sorting all this inahitaji divine power.
Watoto kulelewa kwenye familia yenye migogoro wanaathirika zaidi. Kuna njia nzuri za kulea watoto kwa pamoja na wakakua vizuri tu.
 
Watoto kulelewa kwenye familia yenye migogoro wanaathirika zaidi. Kuna njia nzuri za kulea watoto kwa pamoja na wakakua vizuri tu.
Hongera, hope yote yaliisha poa na kila mmoja anaishi vizuri, na hasa watoto wameelewa namna mpya ya kuishi.
 
Hongera, hope yote yaliisha poa na kila mmoja anaishi vizuri, na hasa watoto wameelewa namna mpya ya kuishi.
Kila mmoja na maisha yake kwa sasa. Ni uamuzi ambao sikuwahi kuujutia.
 
Back
Top Bottom