Naonaga mimi sio kama wanaume wengine

Naonaga mimi sio kama wanaume wengine

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Ivi najiulizaga kama mimi ndo nimeumbwa tofauti na wanaume wenzangu sijuagi kabisa

Mimi siwezagi kutoka na demu ambaye sio mke wangu au mpenzi wangu

Na nikitoka na mwanamke fulani ni lazima yule wa kwanza niachane naye alafu niwe na mwengine siwezagi kukaa na wanawake wawili au watatu kwa kipindi kimoja
Mimi lile swala la kutafuna alafu naondoka siwezagi

Nakumbuka mwaka 2023 kuna demu nilitaka kabisa kumtafuna na kusepa kama wenzangu cha ajabu siku ambayo tunakutana tusex. demu nikamvua nguo kama kawaida nilishindwa kusimamisha nilijaribu kuvuta hisia za mke wangu katika akili yangu lakini wapi

Mimi naonaga kama sijakamilika ivi labda Mimi ni mgonjwa
 
manabiii wengi wa zamani walikuwa na mioyo safi na Mungu aliwaita vipenz vyake lakin suala la kuwa na mwanamke mmoja walishindwa....mkuu jitafakari na chukua hatua
 
Sjui niseme una tatizo... Maana it's unbelievable, kwa wanaume sisi hii ni nature yetu, sasa wewe kwel km unavosema utakuw sahihi, haujakamilika.
 
Back
Top Bottom