Naondoka mkoa X baada ya Mkuu wa Mkoa mpya kuwa kilaza na alikuwa classmate wangu

Naondoka mkoa X baada ya Mkuu wa Mkoa mpya kuwa kilaza na alikuwa classmate wangu

Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa.

Siwezi kuvumilia kuongozwa na kilaza mie na baada ya kuona kwamba huyu kilaza anakuja mkoani hapa nilimwandikia meseji ya kwamba mimi naondoka hapa mkoani kwasababu yako haiwezrkani kilaza wewe uje uniongoze nikamaliza.
Subiri kuhama nchi siku akiwa rais
 
Hivi ushawahi kujiuliza kwanini marekani, Urusi china hauwi kiongozi kama wewe ni kilaza?

Obama alikua na PhD ya darasani ..

Hapo ndio utaelewa kwanini sisi ni maskini, tuna viongozi vilaza.
Brother upo serious au western education unacompare na elimu yetu?
 
Hivi ushawahi kujiuliza kwanini marekani, Urusi china hauwi kiongozi kama wewe ni kilaza?

Obama alikua na PhD ya darasani ..

Hapo ndio utaelewa kwanini sisi ni maskini, tuna viongozi vilaza.
Idadi kubwa ya Viongozi wetu mbna wana maphd wengine maprofesa
 
Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa.

Siwezi kuvumilia kuongozwa na kilaza mie na baada ya kuona kwamba huyu kilaza anakuja mkoani hapa nilimwandikia meseji ya kwamba mimi naondoka hapa mkoani kwasababu yako haiwezrkani kilaza wewe uje uniongoze nikamaliza.
Ndiyo maisha.....
Mie nimesoma na kilaza lakini leo Mungu kamuinua ni multi billionaire katupa maisha na tumekuwa ma global citizens.
Kula na kipofu......baniani M baya kiatu che dawa.
 
Maisha hayapo hivyo braza.

Wewe ulishika nafasi ya kwanza darasani, ila yeye ameshika nafasi ya kwanza kwenye Maisha. Fainali ni uzeeni mkuu.
 
Wee jamaa ni fala nini... Bado unaamini akili za darasani ndio akili za maisha? [emoji23] kama unaamini hivyo unajiongopea mwenyewe mzee badili hiyo mentality unajipoteza kiwendawazimu mkuu [emoji848] kuna watu walikua vilaza darasani.

Lakini mtaani huwaambii kitu ni wana akili na maarifa mengi ya kutatua changamoto zinazo wakabili kuliko zezeta lililosomeshwa hadi chuo kikuu ambalo haliwezi kujisaidia lenyewe mpaka hela ya chupi mzazi atoe mfukoni mwake ni akili sasa hizo? [emoji706]

Hii ni sababu kubwa inasababisha vijana wengi wanakua majobless kwasababu unakuta wanajiwekea standards kwamba mimi nina Degree siwezi ku fanya kazi hii [emoji1787] my ndugu ajira zenyewe ziko wapi? Ni bora ufanye kazi yeyote cha kuzingatia iwe ni ya halali tu basi huku una sikilizia michongo mingine ya professional yako uliyo somea chuo.
 
Back
Top Bottom