DuuuhHii mbinu ya utongozaji mtongozwa sidhani km anaweza kuchomoka... Uzinzi ni dhambi mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuhHii mbinu ya utongozaji mtongozwa sidhani km anaweza kuchomoka... Uzinzi ni dhambi mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa darasani na uongozi ni wapi na wapi? Mkuu tulia uongozwe. Kubali maisha hubadilika.Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa.
Siwezi kuvumilia kuongozwa na kilaza mie na baada ya kuona kwamba huyu kilaza anakuja mkoani hapa nilimwandikia meseji ya kwamba mimi naondoka hapa mkoani kwasababu yako haiwezrkani kilaza wewe uje uniongoze nikamaliza.
Yaani teuzi za CCM zinakupa shida? Huko unakokwenda utakutana na Mkuu wa Wilaya ambaye si tu alikuwa Kilaza, Bali alikuwa Mburula. Uteuzi ni mapenzi ya mteuaji na haihusiani na uwezo wa mteuliwa. Kwani Ukuu wa Mkoa Unahitaji uwezo gani kitaaluma zaidi ya kujua kujipendekeza na kumpamba Rais na kutoa amri za kuwakandamiza wapinzani? Kuwaita wafanyabiashara na Wafugaji wakubwa na kuwatisha ili wachangie mbio za Mwenge kunahitaji uwezo gani kiakili?Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa.