Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Subiri kuhama nchi siku akiwa raisHivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa.
Siwezi kuvumilia kuongozwa na kilaza mie na baada ya kuona kwamba huyu kilaza anakuja mkoani hapa nilimwandikia meseji ya kwamba mimi naondoka hapa mkoani kwasababu yako haiwezrkani kilaza wewe uje uniongoze nikamaliza.
Ndio kama huyo mleta mada🤣🤣bado kuna watu wanaaamini akili za kukariri vitu darasani zina mahusiano na hekima ya uongozi
Ataharibu mambo huyoNdio kama huyo mleta mada🤣🤣
Alafu mbaya zaidi yeye ni Nurse Mkunga🤣🤣🙌Ataharibu mambo huyo
Legional Commissioner 😁Wewe na yeye nani kilaza?? Tulia upishe msafara wa LC300
Hivi ushawahi kujiuliza kwanini marekani, Urusi china hauwi kiongozi kama wewe ni kilaza?bado kuna watu wanaaamini akili za kukariri vitu darasani zina mahusiano na hekima ya uongozi
Mawazo yako potofu mkuuHii mbinu ya utongozaji mtongozwa sidhani km anaweza kuchomoka... Uzinzi ni dhambi mbaya.
Anaitwa Evelyn I F MAnaitwa Evelyn salt?
Brother upo serious au western education unacompare na elimu yetu?Hivi ushawahi kujiuliza kwanini marekani, Urusi china hauwi kiongozi kama wewe ni kilaza?
Obama alikua na PhD ya darasani ..
Hapo ndio utaelewa kwanini sisi ni maskini, tuna viongozi vilaza.
Idadi kubwa ya Viongozi wetu mbna wana maphd wengine maprofesaHivi ushawahi kujiuliza kwanini marekani, Urusi china hauwi kiongozi kama wewe ni kilaza?
Obama alikua na PhD ya darasani ..
Hapo ndio utaelewa kwanini sisi ni maskini, tuna viongozi vilaza.
Ndiyo maisha.....Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa.
Siwezi kuvumilia kuongozwa na kilaza mie na baada ya kuona kwamba huyu kilaza anakuja mkoani hapa nilimwandikia meseji ya kwamba mimi naondoka hapa mkoani kwasababu yako haiwezrkani kilaza wewe uje uniongoze nikamaliza.
Wakuu wa mikoa wanaleta maendeleo gani?Mh.mkuu wa Mkoa aje kufanga kazi Ili alete maendeleo kwa wananchi.