Naondoka mkoa X baada ya Mkuu wa Mkoa mpya kuwa kilaza na alikuwa classmate wangu

[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa darasani na uongozi ni wapi na wapi? Mkuu tulia uongozwe. Kubali maisha hubadilika.
 
Bonge la mshamba ...Hizo akili hauna ulitaka kilaza wafe njaa au wauliwe ...kama ulikuwa unashika darasani ni neema tu na yeye leo kapata neema.

Hakuna kazi ngumu zaidi ya uzoefu na elimu ni vitu tofauti ndio maana mkiwa kazini bado mnasoma ...
 
Yaani teuzi za CCM zinakupa shida? Huko unakokwenda utakutana na Mkuu wa Wilaya ambaye si tu alikuwa Kilaza, Bali alikuwa Mburula. Uteuzi ni mapenzi ya mteuaji na haihusiani na uwezo wa mteuliwa. Kwani Ukuu wa Mkoa Unahitaji uwezo gani kitaaluma zaidi ya kujua kujipendekeza na kumpamba Rais na kutoa amri za kuwakandamiza wapinzani? Kuwaita wafanyabiashara na Wafugaji wakubwa na kuwatisha ili wachangie mbio za Mwenge kunahitaji uwezo gani kiakili?
 
Nakuunga mkono.mi nimechana kadi ya ccm baada ya kuona kuna vilaza wengi sana mule wakiongozwa na bashite
 
Hivi kukariri maswali ya civics na geography ambayo hayana impact yeyote katika maisha ndio kuwa na akili.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…