Naondoka na Slaa kampeni ya CHADEMA Asilia!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nimepita maeneo ya mianzini jijini Arusha kuna kampeni ya chini kwa chini yenye kupeana hamasa kuwa wanachadema asilia waliojitolea kupigwa risasi na mabomu pale Soweto kwa ushawishi wa Ufuasi wa Slaa.

Sasa wameweka nadhiri kuwa watahama na kumfuata kokote mpendwa wao Dr Willy Slaa ambaye ni baba wa vita dhidi ya ufisadi Tanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA.


 
Wakifanya Hivyo Watakuwa Lossers....Ni Neema Kupokea toka CCM Na Ni Kipindi Cha Kutulia na Kuanza Kula Matunda ya Mabomu ya Arusha.

Ni Mjinga tu atakayechua Maamuzi ya Kuiama CHADEMA Kwende Upande wapinzani Watarajiwa. Kama CUF,NCCR na NLD Wamekubali

Kuwa Lowassa Asimame Eti Kuna Mtu wa CHADEMA ambapo Ndio Mgombea wa Umoja Anatoka Atajichanganya na Kutoka, Hii Itakuwa

Sawa Sawa na Kupishana na Gari Linalokuja na ATM Card.
 
Dr Slaa akiondoka maana yake hesabu hazikuzingatiwa kabla ya kumkaribisha Lowasa..... tumesisitiza kumuunga mkono Lowasa kama viongozi wetu wakuu wote wamekubali kwa dhati hesabu zimezingatiwa....kinyume na hapo sitounga mkono maamuzi haya.....
 
Wachochezi tu nyie, hamna lolote, kama viongozi wa CHADEMA akiwemo Slaa wamekubaliana kumpokea LOWASSA nyie mna nini cha kuwaambia wananchi?
CHADEMA wamefanya kitendo cha ki - UNGU kumpokea LOWASSA aliyenyanyaswa vya kutosha na mfumo kandamizi, pia akapokwa haki yake na KITENGO ambacho hakiko kisheria! Sasa ukisema mambo ya kuondoka CHADEMA wakati huu ambapo neema imewazukia kila mtu anakuona wa ajabu! Tulieni LOWASSA achukue Nchi Kwanza!!!
 
Mussa umenena sahihi kabisa....huu ndo muda wakupanga na c kubomoa
 
Lawezaje neno jema kiutoka nazareti?
 
Slaa amesalitiwa zaidi ya lowasa kwa nn aonekane lowasa ameua zinguliwa ila slaa hapana
 

Mkuu.... Ilikuaje Mwenyekiti akasahau kwamba yeye ni mwenyekiti??
Hahahaha.... Alivurugwa na nini?!?
 

Username can speak it all like that one of lazy bone aka Lizaboni
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.... Ilikuaje Mwenyekiti akasahau kwamba yeye ni mwenyekiti??
Hahahaha.... Alivurugwa na nini?!?

Hujasikia Mwandosya anakwambia kuwa JAKAYA alikuja na majina yake kwenye wallet? Sasa amefanya manuva mpaka akasahau kuwa yeye ndiye mwenyekiti wa mkutano ule! MWISHO WA UBAYA NI AIBU TUPU!!!
 
Binadamu sio wakwasikiliza sana siku zote kabla lowassa hajahamia chadema walisema slaa sii chochote wala lolote kwanza hana mvuto

Leo lowassa yupo chadema wanasema lowassa mwizi
Hii dunia ya ajabu sana mtu unavyo ingia kwenye siasa jaribuni kuwa wavumilivu je mtahama vyama mpaka lini? Na Kwenye maisha hamna kitu duniani kilicho kamilika 100% so kama tunaemdelea kuwa wazima na
Lowassa kwa bahati yake kapitishwa na ukawa sio mbaya tutampigia kura na maisha yataendelea kama kawaida hamna kitu kitaalibika.
 

cc: Lizaboni
 
Last edited by a moderator:
Jaman niulize kiswali kwan chadema ni chama cha wachaga au maana wengi ninaowaona ni wachaga tukiwapa wachaga c ndo kila seckita ngazi za juu watakuwa wachaga tuuuu
 
Jamani [MENTION]MUSA ALAN[/MENTION], ID yake imekuwa hacked? Au naota vile.
Otherwise nakubaliana na Mbowe, kuwa politics is the game of dynamics na unaweza kubadili gia ukiwa angani. Hongera MUSA ALAN kwa kubadili gia angani
 
Tukikuuliza sababu ya msingi ya malalamiko yako yanayosisitiza Lowassa kuwa bora kwako na watanzania kama rais huwezi kusema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…