Naondoka na Slaa kampeni ya CHADEMA Asilia!

Nimepita maeneo ya mianzini jijini Arusha kuna kampeni ya chini kwa chini yenye kupeana hamasa kuwa wanachadema asilia waliojitolea kupigwa risasi na mabomu pale soweto kwa ushawishi wa Ufuasi wa Slaa.

sasa wameweka nadhiri kuwa watahama na kumfuata kokote mpendwa wao Dr Willy Slaa ambaye ni baba wa vita dhidi ya ufisadi Tanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Wakati Slaa yuko oficine na anapiga mzigo kwenda mbele, na amekabizi form za uraisi kwa Lowasa leo.
Nynyi mnahubiri ujingaujinga humu na migamba yenu.
 
Dr Slaa akiondoka maana yake hesabu hazikuzingatiwa kabla ya kumkaribisha Lowasa..... tumesisitiza kumuunga mkono Lowasa kama viongozi wetu wakuu wote wamekubali kwa dhati hesabu zimezingatiwa....kinyume na hapo sitounga mkono maamuzi haya.....

Ni kweli kabisa, hilo litakuwa kosa kubwa mno.Kabla ya jambo kubwa kama hili Mwenyekiti na Katibu walipaswa kukubaliana, na ikishindikana kukubaliana walipaswa waamue namna ya kufanya kabla ya Lowassa kuingia.Ata haikupaswa sasa wakatoi fomu zinatolewa ndio wawe wanaongelea hilo.

Bila shaka kuna tatizo maana kwenye tukio la kutoa fomu kwa mgombea urais Dr Slaa kama katibu ndiye alipaswa kumpa fomu mgombea urais, hakuwepo. Tafadhari sasa watani zangu Chadema yamalizeni na Dr Slaa, mkiharibu hapa mtakuwa mmeharibu moja kwa moja.Mtakwenda kwenye uchaguzi mkiwa majeruhi.

Wahenga walisema usiache mbachao kwa msala upitao, Lowassa atakuwa mtaji kama tu kama Chadema itabaki kama ilivyokuwa, lakini Chadema ikigawanyika basi Lowassa atakuwa ni mkosi.Lifanyieni kazi haraka sana hili kama kweli lipo.
 
Wachochezi tu nyie, hamna lolote, kama viongozi wa CHADEMA akiwemo Slaa wamekubaliana kumpokea LOWASSA nyie mna nini cha kuwaambia wananchi?
CHADEMA wamefanya kitendo cha ki - UNGU kumpokea LOWASSA aliyenyanyaswa vya kutosha na mfumo kandamizi, pia akapokwa haki yake na KITENGO ambacho hakiko kisheria! Sasa ukisema mambo ya kuondoka CHADEMA wakati huu ambapo neema imewazukia kila mtu anakuona wa ajabu! Tulieni LOWASSA achukue Nchi Kwanza!!!

Usipaniki huku lazima ukubaliane tuna matomaso wapo wengi hawaamini mpaka washuhudie kwa macho na kumshika dr slaa huyu hapa watu hawa walikuwepo toka enzi za torati.
 
Ama Kweli nyani haoni kundule, Kama EL hakutendewa haki CCM, na katiba haikufuatwa katika mchujo, Vp Kwa CDM haki imetendeka? Je, EL ana haki ya kuteuliwa kuwa mgombea Kwa upande wa CDM Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, hasa tukiangalia muda ambao ndugu EL amejiunga na CDM?
 
Dr Slaa akiondoka maana yake hesabu hazikuzingatiwa kabla ya kumkaribisha Lowasa..... tumesisitiza kumuunga mkono Lowasa kama viongozi wetu wakuu wote wamekubali kwa dhati hesabu zimezingatiwa....kinyume na hapo sitounga mkono maamuzi haya.....
Hofu ya nini?! Si mmeambiwa lowasa kaja na mamilioni ya wanachama!
 
Dr Slaa akiondoka maana yake hesabu hazikuzingatiwa kabla ya kumkaribisha Lowasa..... tumesisitiza kumuunga mkono Lowasa kama viongozi wetu wakuu wote wamekubali kwa dhati hesabu zimezingatiwa....kinyume na hapo sitounga mkono maamuzi haya.....

Wewe ni nani kwenye chama!
 
Nimeamua kuwa kimya mpaka nitakapo sikia kauli ya Dr slaa
 
Dr Slaaa dah siasa zinakatisha tamaa sana any way mi ngoja niwe mtazamaji. Ila ni tukio kubwa sana la kumpokea Lowasa ndani ya chama(All the best Makamanda wangu mi nimeishiwa mafuta njiani, siasa sasa basi)
 
Pro CCM wapo kazini.wanajaribu kuwachanganya wananchi, haami mtu hapa.Piga kotekote mpaka kieleweke.Wapiganaji msiwe na wasiwasi.Makamanda wapo ngangari.
 
Nimepita maeneo ya mianzini jijini Arusha kuna kampeni ya chini kwa chini yenye kupeana hamasa kuwa wanachadema asilia waliojitolea kupigwa risasi na mabomu pale soweto kwa ushawishi wa Ufuasi wa Slaa.

sasa wameweka nadhiri kuwa watahama na kumfuata kokote mpendwa wao Dr Willy Slaa ambaye ni baba wa vita dhidi ya ufisadi Tanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Mambo ya uzushi hayafai kwa sasa. Tuhamasishe wapiga kura wetu wapigie chama chetu
 
Slaa alikuwa hawajui wachaga wamemtumia kukijenga chama sasa amegeuka ganda la ndizi pole sana dr.
 
Wachochezi tu nyie, hamna lolote, kama viongozi wa CHADEMA akiwemo Slaa wamekubaliana kumpokea LOWASSA nyie mna nini cha kuwaambia wananchi?
CHADEMA wamefanya kitendo cha ki - UNGU kumpokea LOWASSA aliyenyanyaswa vya kutosha na mfumo kandamizi, pia akapokwa haki yake na KITENGO ambacho hakiko kisheria! Sasa ukisema mambo ya kuondoka CHADEMA wakati huu ambapo neema imewazukia kila mtu anakuona wa ajabu! Tulieni LOWASSA achukue Nchi Kwanza!!!

Haaahaa haaaha haaaha lol...
 
Nimepita maeneo ya mianzini jijini Arusha kuna kampeni ya chini kwa chini yenye kupeana hamasa kuwa wanachadema asilia waliojitolea kupigwa risasi na mabomu pale soweto kwa ushawishi wa Ufuasi wa Slaa.

sasa wameweka nadhiri kuwa watahama na kumfuata kokote mpendwa wao Dr Willy Slaa ambaye ni baba wa vita dhidi ya ufisadi Tanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
ImageUploadedByJamiiForums1438288020.356208.jpg Chukua hiyo na Kalale Mpuuzi wewe
 
Ama Kweli nyani haoni kundule, Kama EL hakutendewa haki CCM, na katiba haikufuatwa katika mchujo, Vp Kwa CDM haki imetendeka? Je, EL ana haki ya kuteuliwa kuwa mgombea Kwa upande wa CDM Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, hasa tukiangalia muda ambao ndugu EL amejiunga na CDM?

Wangapi wamechukua form kugombea kuteuliwa nafasi ya urais ndani ya CHADEMA? Msiwe na papara tulieni
 
Back
Top Bottom