Naongea na mwenye mbwa siongei na mbwa

Na yule waziri aliyekasema maneno hayo bungeni akiwaambia waandishi habari wenzake?. Ama kweli usitukane wakunga ingali uzazi upo.
 
Kama sio busara za Mzee mwinyi ilikuwa anyongwe kwa jaribio la uhaini 1982 kwa kumpindua Map Nyerere akiwa na umri wa miaka 26 akiwa na wenzake akakamatwa akishirikiana na akina Maghee na Kapten Maganga mpaka Mzee Mwinyi akaja kuwatoa kwa msamaha!
 
Hili jamaa linaongea shit sana..lingenyongwa kutaka kumpindua mwalimu
 
Duh!! So interesting mkuu.
Then what happened?
 
Hii ni kweli?
 
Duh, kama mbwa kaweza kugeuka kuwa mwenye mbwa, basi badala ya kuwa na visasi angejitambua kuwa kumbe yawezekana pia kesho akageuka tena kuwa mbwa.
Tena sio mbwa atakayekuwa na mmiliki bali mbwa koko asiye na mwenyewe wa kumhifadhi bali wa kuzurura hovyo. Ndivyo dunia ilivyo, visasi huwa vikianza havina mwisho.
 

ya gadaffi
 
Alipo muumba binadamu ALLAH,alijisifu kwa kukiumba kiumbe bora,hivyo basi siyo busara kumfananisha binadamu na mbwa.Kama umewahi kutamka hivyo....pse fanya toba haraka saana.
 
Visasi vipo mpaka kwenye ikulu ya Donald Trump kule Marekani. Au unasahau kuwa mwenye visasi ni mkristo au pengine muislam, mtu ambaye hukumbushwa kutubu dhambi zake?.

Nitajie kiongozi yoyote yule wa kitanzania kuanzia Mwalimu JKN mpaka hivi leo ambaye hana chembe ya ushahidi wa uwepo wa visasi kwenye hulka zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…