dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,858
- 2,059
ni baba yake
Baba yake anaitwa nani? Mimi najua ni yeye...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni baba yake
nimejichanganyaSijakusoma hapo.
Duh!! So interesting mkuu.Kuna siku nikiwa Lusaka kipindi cha kampeni mkurugenzi wa jiji la Lusaka alimyima sata kibali cha kufanya kampeni, sata akatinga hadi jiji akamwabia yule mkurugenzi kuwa hawaambie waliomtuma kuwa siku akiwa rais atakomesha tabia ya watumishi kuwa sehemu ya vyama tawala, alichoambulia sata ni tusi toka kwa yule mkurugenzi kuwa, wewe mbwa asiye na Elimu nani akupe urais wa nchi, kama siyo walinzi wa sata ngumi zingelika, bahati mbaya kwa mkurugenzi sata akashinda urais.
Hii ni kweli?Kuna mtu mmoja shombe shombe (chotara/zero point five), yeye ni mmoja wa watu wenye ushawishi ndani ya klabu ambayo zamani iliitwa Sunderland. Huyu mtu ni mmoja wa wadau muhimu wa sekta ya usafirishaji, ni mmoja wa wamiliki wa magari makubwa yanayopeleka mizigo katika nchi jirani.
Wakati wa awamu ya nne aliingia kwenye mzozo na aliyekuwa waziri wa barabara, akafikia hatua ya kuongea kwa dharau akisema kwamba yeye haongei na mbwa bali anaongea na mmiliki wa mbwa, ilibidi aliyekuwa waziri mkuu aingilie kati na kuutatua ugomvi ule.
Mungu si athumani siku za kuishi huwa zinakwenda kasi sana, leo hii yule aliyeitwa mbwa ndiye mwenye mbwa, na ana sauti ya juu kabisa na yenye mamlaka.
Shombe shombe yupo kwenye wakati mgumu, kwani huyu mwenye mbwa wa sasa, anafahamu fika dharau aliyokutana nayo wakati akiwa kazini katika wizara ya barabara.
Nyeti zinahabarisha kwamba mwenye mbwa yupo njiani kuandaa mapigo yatakayorudisha heshima aliyoipoteza baada ya kudharauliwa mpaka kufananishwa na dogi.
Somo muhimu kwa shombe shombe na wengine wote wenye kupenda kuropoka hovyo bila ya kuitazama kesho inafananaje, ni kwamba mdomo ulikiponza kichwa.
Umezaliwa juzi!!!! Fuatilia Siasa za TZ tangu 2010, utamjua aliyekuwa "mbwa" kwa wakati huo, mwenye "mbwa" na kwa sasa "mbwa" ni nani!!Tudokezeeni kidogo, ni nani huyo shombe
Naam mkuuHii ni kweli?
Duh, kama mbwa kaweza kugeuka kuwa mwenye mbwa, basi badala ya kuwa na visasi angejitambua kuwa kumbe yawezekana pia kesho akageuka tena kuwa mbwa.Kuna mtu mmoja shombe shombe (chotara/zero point five), yeye ni mmoja wa watu wenye ushawishi ndani ya klabu ambayo zamani iliitwa Sunderland. Huyu mtu ni mmoja wa wadau muhimu wa sekta ya usafirishaji, ni mmoja wa wamiliki wa magari makubwa yanayopeleka mizigo katika nchi jirani.
Wakati wa awamu ya nne aliingia kwenye mzozo na aliyekuwa waziri wa barabara, akafikia hatua ya kuongea kwa dharau akisema kwamba yeye haongei na mbwa bali anaongea na mmiliki wa mbwa, ilibidi aliyekuwa waziri mkuu aingilie kati na kuutatua ugomvi ule.
Mungu si athumani siku za kuishi huwa zinakwenda kasi sana, leo hii yule aliyeitwa mbwa ndiye mwenye mbwa, na ana sauti ya juu kabisa na yenye mamlaka.
Shombe shombe yupo kwenye wakati mgumu, kwani huyu mwenye mbwa wa sasa, anafahamu fika dharau aliyokutana nayo wakati akiwa kazini katika wizara ya barabara.
Nyeti zinahabarisha kwamba mwenye mbwa yupo njiani kuandaa mapigo yatakayorudisha heshima aliyoipoteza baada ya kudharauliwa mpaka kufananishwa na dogi.
Somo muhimu kwa shombe shombe na wengine wote wenye kupenda kuropoka hovyo bila ya kuitazama kesho inafananaje, ni kwamba mdomo ulikiponza kichwa.
Duh, kama mbwa kaweza kugeuka kuwa mwenye mbwa, basi badala ya kuwa na visasi angejitambua kuwa kumbe yawezekana pia kesho akageuka tena kuwa mbwa.
Tena sio mbwa atakayekuwa na mmiliki bali mbwa koko asiye na mwenyewe wa kumhifadhi bali wa kuzurura hovyo. Ndivyo dunia ilivyo, visasi huwa vikianza havina mwisho.
Visasi vipo mpaka kwenye ikulu ya Donald Trump kule Marekani. Au unasahau kuwa mwenye visasi ni mkristo au pengine muislam, mtu ambaye hukumbushwa kutubu dhambi zake?.Duh, kama mbwa kaweza kugeuka kuwa mwenye mbwa, basi badala ya kuwa na visasi angejitambua kuwa kumbe yawezekana pia kesho akageuka tena kuwa mbwa.
Tena sio mbwa atakayekuwa na mmiliki bali mbwa koko asiye na mwenyewe wa kumhifadhi bali wa kuzurura hovyo. Ndivyo dunia ilivyo, visasi huwa vikianza havina mwisho.