ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 530
Mkuu sio Manji bwana ni Hans pope aliyesema hivyo kipindi Magu akiwa waziri wa ujenzi na miundo mbinu alipiga mkwara kuhusu malori na pope ana miliki malorry ndio akatoa kauli hiyo, mtoa thread amekosea au hajui au kakaririPamoja na hayo ndio amwite mwingine mbwa?
Hilo ni dua la kuku Mzee.Duh, kama mbwa kaweza kugeuka kuwa mwenye mbwa, basi badala ya kuwa na visasi angejitambua kuwa kumbe yawezekana pia kesho akageuka tena kuwa mbwa.
Tena sio mbwa atakayekuwa na mmiliki bali mbwa koko asiye na mwenyewe wa kumhifadhi bali wa kuzurura hovyo. Ndivyo dunia ilivyo, visasi huwa vikianza havina mwisho.
Ninalijua hiloMkuu sio Manji bwana ni Hans pope aliyesema hivyo kipindi Magu akiwa waziri wa ujenzi na miundo mbinu alipiga mkwara kuhusu malori na pope ana miliki malorry ndio akatoa kauli hiyo, mtoa thread amekosea au hajui au kakariri
Tunamba hiyo videoKuna mtu mmoja shombe shombe (chotara/zero point five), yeye ni mmoja wa watu wenye ushawishi ndani ya klabu ambayo zamani iliitwa Sunderland. Huyu mtu ni mmoja wa wadau muhimu wa sekta ya usafirishaji, ni mmoja wa wamiliki wa magari makubwa yanayopeleka mizigo katika nchi jirani.
Wakati wa awamu ya nne aliingia kwenye mzozo na aliyekuwa waziri wa barabara, akafikia hatua ya kuongea kwa dharau akisema kwamba yeye haongei na mbwa bali anaongea na mmiliki wa mbwa, ilibidi aliyekuwa waziri mkuu aingilie kati na kuutatua ugomvi ule.
Mungu si athumani siku za kuishi huwa zinakwenda kasi sana, leo hii yule aliyeitwa mbwa ndiye mwenye mbwa, na ana sauti ya juu kabisa na yenye mamlaka.
Shombe shombe yupo kwenye wakati mgumu, kwani huyu mwenye mbwa wa sasa, anafahamu fika dharau aliyokutana nayo wakati akiwa kazini katika wizara ya barabara.
Nyeti zinahabarisha kwamba mwenye mbwa yupo njiani kuandaa mapigo yatakayorudisha heshima aliyoipoteza baada ya kudharauliwa mpaka kufananishwa na dogi.
Somo muhimu kwa shombe shombe na wengine wote wenye kupenda kuropoka hovyo bila ya kuitazama kesho inafananaje, ni kwamba mdomo ulikiponza kichwa.
Wote wawili wamerudi kwa muumba wao. Amen.Hatimaye wote wametangulia mbele ya haki. Binadamu yatupasa kupendana.
Bado anasubiriwa mwenye threadWote wawili wamerudi kwa muumba wao. Amen.
Ndio mimi mkuu G Sam.Bado anasubiriwa mwenye thread
Unasubiriwa huko ili mkamilikeNdio mimi mkuu G Sam.
Wote wawili wamerudi kwa muumba wao. Amen.
Mungu awasamehe kwa madhambi yaoWote wawili wamerudi kwa muumba wao. Amen.
Nilipoandika huu uzi nilikuwa Nina Hans Pope kichwani mwangu.Mara wengine wadai mhusika ni Manji, na ukiangalia unaona kilichomtokea baada ya mbwa kuwa mwenye mbwa.
Kuna vitu huwezi kuvisema lakini Hans Pope na JPM ni dhahili Hans Yupo mbali sana kwanzia siasa, biashara na Michezo!!.. Mungu amlaze Mzee Hans Pope sehemu salama Peponi!!Kuna mtu mmoja shombe shombe (chotara/zero point five), yeye ni mmoja wa watu wenye ushawishi ndani ya klabu ambayo zamani iliitwa Sunderland. Huyu mtu ni mmoja wa wadau muhimu wa sekta ya usafirishaji, ni mmoja wa wamiliki wa magari makubwa yanayopeleka mizigo katika nchi jirani.