Naongea na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mkuu, umefikisha ujumbe mzuri sana kwa lugha iliyopakwa asali!
Sidhani kama hayo uliyoshauri kama yatazingatiwa.
Vinginevyo, hili ni bandiko bora kabisa kwa kiongozi wetu Mkuu wa nchi.
Wengine hatukujaliwa kuwa na lugha tamu kama hii tunapoamua kusema ukweli
nashukuru sana...japo jiwe limelengwa gizani
 
Huyo alishawaruhusu mawaziri na watumishi wake wale kwa urefu wa kamba zao. Ndio maana unaona mafisadi hapa Tanzania yana dunda dunda na kuserereka.
amekubali kuitwa mama hivyo wamama wengi huwakumbatia watoto wao watukutu😭😭😭
 
Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.

nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.

nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.

Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.

View attachment 2856367
kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
View attachment 2856338
kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.

Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.

kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,

Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
View attachment 2856341
Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.

kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.

kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.

Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.

usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!

ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!

usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
View attachment 2856362
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.

Hoja makini na mujarabu
Ninachosikitika ni kwamba mpelekewa hoja amegoma kufungua masikio yake. Anaamini ukishakuwa kwenye cheo kile basi ghafla unakuwa na akili kuliko Watanzania wote ndo maana akipewa zawadi za vyeti vya heshima hajiulizi mara mbili....

Nasikitika nchi imepoteza muelekeo.
Leo akina Lucas mwashambwa wanatumia majina yao halisi mitandaoni kwa sababu wao kusifu hata kwa mabaya ni sehemu ya usalama na uzalendo kwa taifa. Lakini sisi wakosoaji tunaambiwa kuna uhuru wa maoni lakini hakuna uhakika wa uhuru baada ya maoni ndo maana tunaendelea kujibanza nyuma ya pen names.

Rais wetu haambiliki na anajua kuwa sisi hatuna akili kumfikia yeye
 
Hio jeuri hana na msibani chato alipewa onyo ya kuwa usiposikia la mkuu na wewe tutakuzika kama huyu mwenzako. Tafuteni video ya kule Chato
 
Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.

nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.

nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.

Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.

View attachment 2856367
kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
View attachment 2856338
kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.

Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.

kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,

Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
View attachment 2856341
Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.

kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.

kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.

Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.

usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!

ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!

usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
View attachment 2856362
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.

Kama Mwendazake alimaliza ishu za miundombinu huko Dar Huwa mnalalamika Barabara mbovu mara Maji yajaze Jangwani Kwa nini?

Acha propaganda za kijinga wewe.Wapumbavu, mbumbumbu,maskini na wasiojitambua ndio walikuwa washabiki wa Mwendazake.

Ukiwa timamu huwezi shabikia mtu asiye na akili.mfano Mimi nishabikie reli wakati Sina Barabara? Reli Imewahi wasaidia watu gani kuondoka kwenye umaskini?

Si ajabu maskini wakiongezekaekukiko kupungua.

Mwisho as for me Samia Yuko right kabisa na ashikilie hapo hapo hakuna kutoka kwenye mstari,ukitaka mchukie ukiamua mpende utachagua kinachokupa Furaha uzuri namfahamu Madam President ni very emotional stable hakurupuki Wala hahitaji kujipendekeza Ili asifiwe.

Alishasema binadamu ndivyo walivyo ufanye watasema usifanye watasema kikubwa do what you think is right.Rais hatafutwi kupendwa na Kila mtu alifanya hivyo atakuwa mpumbavu.
 
asante sana... ndugu yangu wewe ni roles model wangu... miongoni mwa watu walio ni insipire hadi nikasomea uandishi ni wewe mkuu...harafu nikabahatika kusoma chuo kimoja na binti yako...🤣🤣🤣​
Asante sana Prince Mhando , nimefurahi kusikia hivyo, ila kiukweli kwenye miti hakuna wajenzi, nina watoto 9, hakuna hata mmoja aliyerithi kazi ya Baba, huyo binti keshaachana na hiyo fani kitambo!, na sisi sasa ndio wazee tunaishia ishia.
P
 
Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.

nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.

nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.

Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.

View attachment 2856367
kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
View attachment 2856338
kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.

Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.

kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,

Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
View attachment 2856341
Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.

kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.

kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.

Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.

usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!

ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!

usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
View attachment 2856362
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.

Mtu yeyote anayemsifia Magufuli hana akili!
 
Back
Top Bottom