X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #21
shukurani sana...ngoja tuone atasemaje...?Nadhani Lucas Mwaashambwa atakuja na ujumbe wako kutoka kwa mama yake.
Na hili linaweza likawa andiko zuri kwangu kwa mwaka 2023.
ila bora nimemwambia 🤣🤣🤣🤣Anakunyali tu
Anza na kesi ya Ben Sa8 aliyeuawa kabisaunae ndugu alietekwa na jiwe...? mimi binafsi nitafungua kesi kwa niaba ya familia yako...na hiyo kesi nitaisimamia mimi mwenyewe...ila nitahitaji uthibitisho tu wa huyo ndugu yako alie tekwa...!
nashukuru sana...japo jiwe limelengwa gizaniMkuu, umefikisha ujumbe mzuri sana kwa lugha iliyopakwa asali!
Sidhani kama hayo uliyoshauri kama yatazingatiwa.
Vinginevyo, hili ni bandiko bora kabisa kwa kiongozi wetu Mkuu wa nchi.
Wengine hatukujaliwa kuwa na lugha tamu kama hii tunapoamua kusema ukweli
ni ndugu yako....?Anza na kesi ya Ben Sa8 aliyeuawa kabisa
🤣🤣🤣🤣 wewe bwana unanikimbia kimbia..kinyeo chako hutaki nacho🤣🤣🤣BABA KINYEO ukituliaga unaandika pointi sana
amekubali kuitwa mama hivyo wamama wengi huwakumbatia watoto wao watukutu😭😭😭Huyo alishawaruhusu mawaziri na watumishi wake wale kwa urefu wa kamba zao. Ndio maana unaona mafisadi hapa Tanzania yana dunda dunda na kuserereka.
Kama huyo kwenye profile ni wewe naanza kufikiria namna ya kukutunuku 🤣🤣🤣🤣🤣 wewe bwana unanikimbia kimbia..kinyeo chako hutaki nacho🤣🤣🤣
Hoja makini na mujarabuMh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.
nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.
nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.
Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.
View attachment 2856367
kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
View attachment 2856338
kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.
Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.
kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,
Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
View attachment 2856341
Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.
kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.
kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.
Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.
usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!
ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!
usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
View attachment 2856362
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.
Na yamemuingia kulia, yakatokea kushotoila bora nimemwambia 🤣🤣🤣🤣
Kwani wewe ni mnyarwanda?ni ndugu yako....?
Kwani wewe ni mnyarwanda?
sikuifatilia hotuba ya msibani Chato...ngoja niitafute...!Hio jeuri hana na msibani chato alipewa onyo ya kuwa usiposikia la mkuu na wewe tutakuzika kama huyu mwenzako. Tafuteni video ya kule Chato
Kama Mwendazake alimaliza ishu za miundombinu huko Dar Huwa mnalalamika Barabara mbovu mara Maji yajaze Jangwani Kwa nini?Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.
nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.
nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.
Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.
View attachment 2856367
kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
View attachment 2856338
kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.
Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.
kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,
Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
View attachment 2856341
Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.
kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.
kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.
Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.
usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!
ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!
usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
View attachment 2856362
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.
Asante sana Prince Mhando , nimefurahi kusikia hivyo, ila kiukweli kwenye miti hakuna wajenzi, nina watoto 9, hakuna hata mmoja aliyerithi kazi ya Baba, huyo binti keshaachana na hiyo fani kitambo!, na sisi sasa ndio wazee tunaishia ishia.asante sana... ndugu yangu wewe ni roles model wangu... miongoni mwa watu walio ni insipire hadi nikasomea uandishi ni wewe mkuu...harafu nikabahatika kusoma chuo kimoja na binti yako...🤣🤣🤣
Mtu yeyote anayemsifia Magufuli hana akili!Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.
nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.
nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.
Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.
View attachment 2856367
kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
View attachment 2856338
kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.
Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.
kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,
Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
View attachment 2856341
Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.
kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.
kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.
Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.
usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!
ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!
usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
View attachment 2856362
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.
hiyo imeenda...Mtu yeyote anayemsifia Magufuli hana akili!
huyo ni mimi mwenyewe...sio photocopy 🤣🤣🤣Kama huyo kwenye profile ni wewe naanza kufikiria namna ya kukutunuku 🤣