Naongea na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Asante sana Prince Mhando , nimefurahi kusikia hivyo, ila kiukweli kwenye miti hakuna wajenzi, nina watoto 9, hakuna hata mmoja aliyerithi kazi ya Baba, huyo binti keshaachana na hiyo fani kitambo!, na sisi sasa ndio wazee tunaishia ishia.
P
kwa bahati mbaya hata mimi kazi ninazofanya aziendani kabisa na fani niliyo somea taratibu taratibu nataka niigeukie sheria...

bado nafuata nyayo zako...na safari yangu ya elimu ya Sheria itaanza rasmi 2024...!
 
Bandiko bora Sana la mwaka 2023. Pamoja na kuwa Rais Samia Suluhu Hassan aliwaruhusu wateule wake Kula kulingana na urefu wa kamba yao na kwamba waangalie wasivimbiwe, wengi wamevimbiwa mno wakiwemo Mwigilu Lameck Nchemba (Esther Luxury) bila kumsahau Jerry Slaa.

Jerry anatuambia kuwa bado anakula urithi wa marehemu baba yake!. Jerry anatudhihaki kuwa ana fedha nyingi wakati kundi kubwa la watanzania linaishi chini ya kipato Cha Dola moja. Jerry Slaa anapaswa kuachia ngazi Kwa dhihaka yake Kwa kundi kubwa la watanzania.

Rais Samia anazunguzukwa na wanafiki, walaghai,waongo, wazandiki na wapotoshaji wakubwa wakati huohuo wakimkenulia meno ya dhihaka kwa kumuita mama.

Rais Samia ana Nia njema Sana kwa taifa ila anazunguzungukwa na WAHILA wengi.

Kikokotoo Rais Samia anahujumiwa!.
Nyongeza ya mshahara 23% mwaka juzi Rais Samia alihujumiwa na Mwigulu.

Enyi mamluki fahamu na tambua kuwa tunafahamu kuwa mnamhujumu Rais Samia Kwa tamaa zenu za wizi na ufisidi uliopindukia na ulafi wa kuutaka Urais wa Samia.
 
Chondechonde enyi mabaki ya jiwe sukuma gang)!! Samia ana mapungufu yake lkn msitake kumfanya aige ujinga wa jiwe. Jiwe zhakuwa kiongozi kabisa, alikuwa muuaji, mporaji, mtekaji, na mpiga risasi.

Samia ni bora kuliko jiwe mara milioni.
Kwa kuwa karuhusu kula urefu wa kamba? MAGU hakuruhusu yeye ilikuwa hapa kazitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…