Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
DIAMOND alimsomesha binti chuo baada ya kuhitimu yule binti akapata kazi na kupata bwana mwengine na kuolewa naeSijui kama amemshauri vibaya kuna kitu kinakwama mahali wakiendela hivi wanaweza kukizamisha kipaji cha kijana
kiwango cha Jembe ni jembe naona umepata promoHarmonize ni wa kuimba nyimbo kama UNO!!!!!!!????????
Aseeee acha ninyamaze,endelea harmo acha niwe mpole
Harmonize ni fagio la chuma ipo siku Diamond atasainishwa mkataba kwenye label ya HarmonizeNikimtazama harmonize naona kama hana muda mrefu sana tutamsahau. Nawashangaa sana hata wanaosema anaweza chukua nafasi ya Ali Kiba.
Harmo nje ya wcb ni kama samaki nje ya maji.
Sina shaka ule wimbo aliouimba tena wa Ngwangwalu, Jiwe anatamani uwe wimbo wa Taifa!Kijana ameshaanza shave la ubunge asaidiwe kutengeneza mikaratusi na mbinu za Kisiasa Au ndo atakuwa kama KOMBA WA TOT