Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Tafadhali sana umemkuta Harmonize akiwa kwenye peak na nyimbo zake very hot, endeleze walipoishia WCB na azidi kupaa zaidi.
Chagueni ngoma kali za kurelease, lakini kwa mwendo huu wa nyimbo mbovu anazotoa siku hizi kama huu mpya "UNO" lawama zote zitarudi kwako wewe Jembe kwa kumshauri vibaya Mmakonde wa watu.
Ni hayo tu!!