Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Tafadhali sana umemkuta Harmonize akiwa kwenye peak na nyimbo zake very hot, endeleze walipoishia WCB na azidi kupaa zaidi.

Chagueni ngoma kali za kurelease, lakini kwa mwendo huu wa nyimbo mbovu anazotoa siku hizi kama huu mpya "UNO" lawama zote zitarudi kwako wewe Jembe kwa kumshauri vibaya Mmakonde wa watu.

Ni hayo tu!!
 
Kijana ameshaanza shave la ubunge asaidiwe kutengeneza mikaratusi na mbinu za Kisiasa Au ndo atakuwa kama KOMBA WA TOT
 
Back
Top Bottom