Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Huyu meneja mpya na yeye anataka kupiga zake asepe tu. Jina lenyewe tu hilo la kipapaa, "Wapi papaa Jembe ni Jembe, mutu ya pesa ndefu".
Hawa watu wanaojifanya wana pesa ndefu Town ukiwashobokea lazima wakupige.
Jembe ni Jembe ni kirusi
 
Wimbo uko 1 on trending huko YouTube lakini hapa wanaomchukia konde boy wanakuja kusema trending or viewers wengi haimanishi wimbo ni mkali..
Ila wao wakitoa wimbo ukawa 1 on trending na kua viewers weng basi wanaamini wimbo wao ni mkali sana
trending ni lazma sabab kwa sasa mwenye wimbo mpya ni yeye peke yake na anatumia nguvu nyingi mnoo kuupromote,anafata views had nairobi na kampala... kaz anayo mwaka huu
 
Wewe tajiri unafanya nn huku?? Mtu km ww unasema hv af ukute hauna hata mchongo wa laki ๐Ÿ–•๐Ÿพ๐Ÿ–•๐Ÿพ
 
Nimeshangaa kwa kweli Harmonizer kuimba nyimbo isiyo na maadili namna hii. Nimezoea nyimbo zake sina meseji nzuri. By the way nilipoona UNO nilijua Numero Uno. Nikajua ina ujumbe wa kuwa number one. Kumbe upuuzi mtupu. This is not Harmonizer I knew.
mmmmh maadili..?
Kwan maadili ni nini...?
kwan nyimbo ngapi za harmonize zinamaadili unayoyaongelea
okey naona tatizo INABANA pamoja na KUINAMA kote AKATEKWA hayo mengine cjui yamekuje
 
trending ni lazma sabab kwa sasa mwenye wimbo mpya ni yeye peke yake na anatumia nguvu nyingi mnoo kuupromote,anafata views had nairobi na kampala... kaz anayo mwaka huu
Mimi naona ndiyo vizuri anajibrand hawezi akarelax wakati ile backup haipo acha apambane akifanikiwa naye asaidie wengine
 
Misukule Ya Domo.

Siku Zote Kwao Msanii Aliye Nje Ya WCB Hawezi Kutoa Wimbo Mzuri.

Na Kila Msanii Anaeonekana Kuweka Juhudi Za Kutishia Ufalme Wa Mtu Wao, Watamponda Humu Balaa!

Waliaoza Na,

Darassa

Aslay

Mavoko


Sasa Harmonize

Misukule Ya Domo Haina Akili
 
Dua zangu ni azid kuporomoka mpaka abadili kazi labda afungue mgahawan
 
vya maaana katoka kuviimba kwenye never givr up na atarudi na matatizo unataka nini sahivi ametoa ngoma kwajiri ya ku party.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ