Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Yani huyu badala ya kwenda na kua star kimataifa anarudi kua underground. Uno n mbaya sna[emoji34]
 
Watu mmekosa kazi, we una uhakika jembe ndo kamshauri harmonize na sio the other way around?
Huna hela kaa chini utulie, maskini hua mna shida sana, badala ya ku-mind shida zenu mnafuatiliia ya watu usiku kucha, seriously man go find something to do achana na mambo ya wengine.
 
Huyu dogo kabebwa sana,yani kuna waimbaji watupu ni huyu na yule mtoto wa mama Jux sijui siwaelewagi kabisa
 
Maneno kama haya yaliwahi kusemwa kwa DIAMOND alivyoondoka kwenye lebel ya SHAROBARO RECORDS na kuachia ngoma yake ya kwanza ya MOYO WANGU kila mtu aliona ndo anguko la Diamond na wengi walishauri bora arudi kwa bob juniour.... Ila mpaka sasa kijana anafanya vizuri zaidi ya hapo awali.
Kwa upande wa HARMONIZE naona kijana apewe muda ni mapema mno kutabiri yatakayotokea kwenye mziki wake nje ya WCB.
 
[emoji23] Clouds machizi tu, hiyo nyimbo yenyewe kipindi inapigwa pale clouds kama ulisikiliza vizuri kuna kipande alichoimbwa Diamond kimekatwa....
Kumbe Konde boy bado anamu admire mentor wake. Sikuwaza kama anaweza kumtaja Mondi kwenye huo wimbo.
 
Back
Top Bottom