Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Nami pia nna neno kwa Harmonize popote utakapoenda tambua kuwa kuna watu wanakesha usiku na mchana kutaka kukushusha na kuzishusha kazi zako hata utoe nyimbo kali hawawezi kuisapot so be carefull
 
Wimbo uko 1 on trending huko YouTube lakini hapa wanaomchukia konde boy wanakuja kusema trending or viewers wengi haimanishi wimbo ni mkali..
Ila wao wakitoa wimbo ukawa 1 on trending na kua viewers weng basi wanaamini wimbo wao ni mkali sana
 
Hili ni tatizo sawa na ndoa za vijana wakileo,wakishaoana...mke anaanza kumlinganisha mume wake na ma X wake,vivyo hivyo na mume naye anamlinganisha mkewe na ma X wake,matokeo yake ndio kusikia maneno BWAWA NA KIBAMIA
Iko Hivi, Harmo wimbo wowote atakao toa sahivi watu watakua wana compare na enzi akiwa WCB.

Hapo ndio Tatizo.
 
Huyu meneja mpya na yeye anataka kupiga zake asepe tu. Jina lenyewe tu hilo la kipapaa, "Wapi papaa Jembe ni Jembe, mutu ya pesa ndefu".
Hawa watu wanaojifanya wana pesa ndefu Town ukiwashobokea lazima wakupige.
 
Kuna wakati watu tumpe heshima Diamond, kuvama miaka kumi Bila kushuka sio mchezo na bado amewainua wengine. Sasa wanao mchukia Mondi wanakimbulia kwa Hamo, Jiulize walimtumia Kiba kabwagwa, wakaja kwa Aslay hoi, mavoko chali Sasa Hamo ametengenezwa na Mondi ndio amshushe?
 
Watanzania wachawi.
Tanzania imekuwa pande 2

Watawala vs Watawaliwa
CCM na Upinzani
Wasafi vs Wapinzani
Diamond vs Wapinzani
Simba vs Yebo yebo

Tanzania kazi ipo
 
Nimeshangaa kwa kweli Harmonizer kuimba nyimbo isiyo na maadili namna hii. Nimezoea nyimbo zake sina meseji nzuri. By the way nilipoona UNO nilijua Numero Uno. Nikajua ina ujumbe wa kuwa number one. Kumbe upuuzi mtupu. This is not Harmonizer I knew.
 
Back
Top Bottom