Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nikupe tafsi ya ndoto zako ila sitaki kuwagombanisha
Ukiona mtu umelala nae hapo home anakuja kuchukuliwa usiku
Ni nafsi yake inaenda kutumikishwa huko na ulimwengu mwingine.
2. Kama mtu huyo huyo anarudi Sasa kukukaba kwenye ndoto Ina maana tayari yuko kazini alishapewa na majukumu kiroho
Sasa usigombane nae msaidie Mpeleke kanisani mapema Kwa mtu mwenye mamlaka za kiroho avunje hilo agano ...mwisho wake utakuwa mbaya usipofanya hivyo
Jaribu hiyo tiba itakusaidia sanaNi kwamba famalia imesha wahi pitia vitu kama hivyo na nilikua naota hivyo hivyo na nimempoteza ndugu yangu mwaka jana na sitak kumpoteza mwingine mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kama mwehuuuMwenzio mdogoangu kuna siku aliniambia nimemkaba usiku[emoji16]
Aliniambia"Dada usiku umenikaba shingoni Dada we mchawi"
Nikamuuliza unauhakika??...kakasema ndio nimekuona wewe......asee niliishiwa pozi
Kwa usalama wako, usifuate huo ushauri.. ni utakuwa umekaribisha mlango indirectly wayMmmh ila huu si ushirikiana?
Kama ni mtu wa Imani kazana na maombi na utafute prayer partner.We siezi fata hata kidogo nitskua nachangamana na usheni