zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Mwanzo alikua anafatiliwa na wachawi nikawa namuokoa na kuna siku mbaba mmoja ni ndugu alikua mwanga akawa anasema mdogo wako yule ana macho angekua wa kiume angekua chief yaani nirivurugwa
Hahahaha nakuamini ila kunambia majini huyaogopi /ujakutana na majini (ujue kuna vijini vinayaogopa hadi majini)Niamin mimi sio utani nimepitia mengi nayajua
Sasa kutana na majini asilia acha haya yanajiita mara maimuna(ukutane na maimuna mwenyewe utasanda)