Naota mdogo wangu ananikaba usiku. Je, anaweza kuwa mchawi?

Naota mdogo wangu ananikaba usiku. Je, anaweza kuwa mchawi?

Nimeona post yako, nilikuwa naangalia namna ya kukusaidia..lakini kwa haraka haraka kuna kitu kibaya, muulize tu nani kamfundisha hayo mambo? Akigoma tuma sh 500000tu, nimuumbue hadharani, alaf tukomeshe hiyo, na yeye tumtuo huko
500000 ya Tanzania ah Zimbabwe?
 
Msaada jamanI

Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku nikaota ananikaba tulipambana kweli na asubuhi yake nikamwambia kuna mtu kanikaba usiku akaniuliza umemtambua nikamjibu hapana akanyamaza tu na sasa hivi ana jeuri matusi haangaliagi wa kumtukana.

Je, anaweza kuwa mchawi kweli au vipi na sio mimi tu ninaye muota hata ndugu zangu wengine pia yaani mkigombana mchana tu usiku unalo na juzi nimemuuliza kakataa kasema hajui chochote.
Hayo ni mapepo mkuuu
Peleka kwenye Maombiii hugo

Au angalia kwenye familia yenu kama mnahistoria ua Uchawi
 
Fanyeni maombi...

Yasije yakawakuta kama ya kwenye "The days of our Lives" walihangaishana na yule jini...
 
Msaada jamanI

Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku nikaota ananikaba tulipambana kweli na asubuhi yake nikamwambia kuna mtu kanikaba usiku akaniuliza umemtambua nikamjibu hapana akanyamaza tu na sasa hivi ana jeuri matusi haangaliagi wa kumtukana.

Je, anaweza kuwa mchawi kweli au vipi na sio mimi tu ninaye muota hata ndugu zangu wengine pia yaani mkigombana mchana tu usiku unalo na juzi nimemuuliza kakataa kasema hajui chochote.
Imawezekana
Kuna kipindi nilikuwa nasali kwa mchungaji Mastai aisee watoto wadogo wachawi na sio kuwa wazazi au ndugu zao ndio wamewaingiza huko la
Ni wapangaji,wengine majirani
Mpeleke maombi huyo
 
Imawezekana
Kuna kipindi nilikuwa nasali kwa mchungaji Mastai aisee watoto wadogo wachawi na sio kuwa wazazi au ndugu zao ndio wamewaingiza huko la
Ni wapangaji,wengine majirani
Mpeleke maombi huyo
Sawa
 
Ukimtuhum mdogo wako kwa uchawi technically atakaua amepewa na mama yako au bibi yako . It means it's a family thing. hebu chunguza ujue nani kati Yao alimpa huo uchawi
Sio lzm iwe hivyo
Niliahuhudia mtoto wa miaka 12 alikuwa anaenda kufundishwa uchawi na mama mwenye nyumba
 
Kukulia kwa imani na kua kuishi kwa imani ni vitu viwili tofauti ndio maana unapigwa ngeta na wanga ndotoni,
Nimekulia kwenye imani na naishi kwenye imani na haimaanishi ndio nitakua mbali na hiyo vita bali nitaishinda
 
Sio rahis hawana mlango WA kuingilia.
Nani kakudanganya?
Hadi wenye nyumba au wapangaji wanaingiza uchawini watoto wa wenzao,inategemea na wepesi wa hiyo familia
Kama wapo wapo tu sio baridi wala moto
 
Umeongea point mkuu sababu hata mimi utoton walitakaga kunifunza hivyo lakin mungu hakuruhusu hayo naona yanakuja kwa mdogo wangu
Fanya maombi kwa ajili yake, inawezekana unayoyaota na kuwaza ni kweli, na inawezekana hata yeye mwenyewe hajui....pole
 
Back
Top Bottom