Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha ulokole njaa huo na hao wachungaji wanaosema wamepambana na wachawi na wenyewe wanawmaisha ya dhambi au vipi..hizi dini ukiziendekeza zinakuharibu physiology kabisa..Kama unayaishi maisha ya dhambi hayo ndiyo matokeo yake, Shetani anapata njia rahisi kukuvamia katika shughuli zako za kila siku kuanzia ndoto mpaka utendaji wako kikazi, ili uweze kumkomesha shetani na wakala wake wote,
Cha kufanya sasa ili uikoe nafsi yako.
Tubu dhambi zako zote hata zile ambazo huzikumbuki kwa mwenyeenzi Mungu.
Samehe wote waliokukosea maana usiposamehe huwezi kusamehewa mbele ya Kiti cha ENZI.
Ita ulinzi wa roho Mtakatifu katika maisha yako yote,
Kumbuka kama kuna maagano umewai kufanya kwa waganga wa kienyeji, yakatae kwanza ndipo uje kwa Mungu anaeishi.
Uwezo wako wa kufikir ndipo ulipo ishia usiyo yaona wewe haimaanishi hayapo mimi na wewe tumeumbwa upeo tofauti hata sikulaumUtakua unamuoea wivu tu
Kwa ujumla ndoto ya kukabwa inategemea unalalaje na Pia umekula mlo wa mwisho wa usiku saa ngapi
Lazima utakua unachelewa kula na unajaza sana msosi kwenye plate matokeo yake unatesa mfumo wa chakula na wa pumzi
Hakuna mchawi hapo… Bariki mida ya kula usiku na Acha wivu Kwa Mdogo wako
Badili ratiba ya kula, Acha wivu na punguza ushirikinaUwezo wako wa kufikir ndipo ulipo ishia usiyo yaona wewe haimaanishi hayapo mimi na wewe tumeumbwa upeo tofauti hata sikulaum
Mchawi ni mtu mwenyewe vitendea kazi mwenyewe mshirikina ni yule anamshirikisha mganga akurogeThreads za uchawi zimepamba moto aisee.... hivi kuna tofauti kati ya uchawi na ushirikina?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ushirikina umezoea wewe na wivu umezoea wewe me sio mtu wa kufata mambo ya watu ila yakiwa yananihusu basi nitajihusisha kwa sehem yangu harafu nishagundua wewe kipofu usiye jua lolote unajosemesha tuBadili ratiba ya kula, Acha wivu na punguza ushirikina
Yes mimi siendekezi dini ninacho kiamini ni mungu pekee sijuagi kuamini wachungaji na never happenacha ulokole njaa huo na hao wachungaji wanaosema wamepambana na wachawi na wenyewe wanawmaisha ya dhambi au vipi..hizi dini ukiziendekeza zinakuharibu physiology kabisa..
Ahahahaha ni Nomino tuThreads za uchawi zimepamba moto aisee.... hivi kuna tofauti kati ya uchawi na ushirikina?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Msaada jamanI
Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku nikaota ananikaba tulipambana kweli na asubuhi yake nikamwambia kuna mtu kanikaba usiku akaniuliza umemtambua nikamjibu hapana akanyamaza tu na sasa hivi ana jeuri matusi haangaliagi wa kumtukana.
Je, anaweza kuwa mchawi kweli au vipi na sio mimi tu ninaye muota hata ndugu zangu wengine pia yaani mkigombana mchana tu usiku unalo na juzi nimemuuliza kakataa kasema hajui chochote.
waislam bwana hasira muda wowoteKumbe majibu unayo, sasa unataka nini juu ya jambo hilo???
Then soma title ya hii threadUshirikina umezoea wewe na wivu umezoea wewe me sio mtu wa kufata mambo ya watu ila yakiwa yananihusu basi nitajihusisha kwa sehem yangu harafu nishagundua wewe kipofu usiye jua lolote unajosemesha tu
waislam bwana hasira muda wowote
Ni muone wivu kwa lipi kwa mfano ?hata kama ndio ningekua na wivu maana mimi na yeye tuna tofauti kubwa sana na nampenda ndugu yangu kuliko unavyo dhani yaani nampenda kuliko hata mama yangu mzazi huwezi amini embu kama huna la kuongea tuliaThen soma title ya hii thread
Ni hivi… wewe una wivu, mshirikina na humpendi ndugu yako
In short hii thread imekuanika
Acha uchawi Dogo… there is more to life that hating your siblings
Ni Mungu sio munguJini mwenyewe ndio namaanisha sio hawa binadam wenye majini tena chanzo chake alinipigia simu kilicho fuata ucku [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]siku ya pili siku ya tatu mwendo ule ule mpaka chumba nilikiina kichugu uzur najiamini na namwamini mungu nikasema hapa sishirikishi binadamu mpaka mungu aamue mbona jini alikimbia mwenyewe