Naota nafanya mapenzi na mpenzi wangu aliyeko mbali karibia kila siku, je hili ni tatizo?

hiyo ni hatari kila siku weka attachment tuone unalalaje kwanza ndo uombe ushauri
 
Naota nafanya mapenz na mpenz wangu aliyeko mbali karibia kila siku je hili ni tatizo?

Ni muhemuko, huo sio tatizo.Nahisi ni sababu hujafanya kitendo kwa muda mrefu.
 
Naota nafanya mapenz na mpenz wangu aliyeko mbali karibia kila siku je hili ni tatizo?

Ndio ni tatizo in the spiritual side! hilo ni jini mahaba also known as spiritual husband. kuna majini mengine hutumia sura au taswira ya mpenzi wako ili kukupumbaza akili na uone kwamba ni kitu cha kwaida (yaani ni kwasababu unampenda ndio maana unamwota, ) na iwe rahisi kwake kuja na kukufanyia hivyo.

sasa basi tafuta mchungaji au mtumishi wamngu akuombee hilo pepo litoke maana mengine huja kuwa na wivu kiasi cha kukufanya usiolewe na hata ukiolewa itakuwa kasheshe tupu. kumbuka kutafuta mtumish wa kweli wa mungu maana sio kila mtumish ametoka kwa bwana na sio kila mchungaji anaweza toa pepo.
pia uwe unasali kabla ya kulala.( hope unajua jinsi ya kusali)
usidangawe kwenda kwa mganga maana hao hawatoi ila takuekea mwingine wakumtuliza huyo...
 
Asanteh sanaa wazo lako zuri lakini tatizo huwa ucku akinipigia tunaongea mambo mengi ya mapenz na ile michezo
 
mbona mi haintokei hata tukiongea hayo mambo na tunaongea sanaa!!!! mbona kuna ambao wanatoka kufanya kabisa hiyo kitu na wake/ waume zao na wanaridhika ila wakilala tuu jamaa anakuja?!! issue sio kwamba unakuwa hujaridhika dear don't be blinded oooh!!!

your have a spiritual husband dear kalitoe tuu acha kutafta visingizio itafika time ukikutana na mtu wako hutasikia raha tena kuwa nae dear. mengine mpaka anamuua mwanaume au mwanaume kufilisika huajawai sikia mwanamke ana nuksii ?!! mengine hukosehsa watu watoto mengine humfanya mume kicheche...

we kaombewe utaona. kama hujui pakwenda na kweli unataka taizo liishe omba uelekezwe mahali pakwenda usaidiwe, unless other wise unaenjoy bwana mkubwa akija.....
 
OK nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom