Naota nafanya mapenzi

Naota nafanya mapenzi

Hilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa baada ya hapo utawekwa kuwa huru mpendwa! Madhara ya majini mahaba
1: kuwa na hasira
2: ndoa yako haitakuwa na amani
3: kutokufanikiwa katika maisha
4: maisha yako ya kiroho yanaathiriwa
Nk

Kwa maelezo zaidi njoo pm
Hili ndo jibu....!
Sina haja kuandika Uzoefu wangu
 
da!!

natamani kuwa kama wewe,manake no stress,no loss of money,no cheating,no HIV,PANGUSA,UTI yaani unagonga bila condom na hamna madhara!!!! baki ivoivo mzee!!! bahati haiji mara mbili!!!!,,,yaani wewe at bahati mbaya ukifungwa jela,,,,,"no problem",,,unajigongea dem ndotoni tartiiiiiiibu!!!!
Hii comment ni fungakazi!! Nimecheka mpaka machozi yametoka
 
Kuota unafanya mapenzi (ndoto nyevu) kunapoambatana na kumwaga shahawa ni dalili una sperm count za kutosha, hautakiwi kumind hasa kama unabalehe au umeamua ujiunge kwenye ile challenge ya Nofap.

Hauna shida yoyote, baadae mwili utazoea hizo ndoto zitakata.

Kama kwenye hizo ndoto haumwagi, basi hiyo ni reflection ya mawazo Yako ya ngono
 
Soma; DHAMBI AMBAZO HUWEZI TUBU PEKEAKO BILA KUSHIRIKISHA WATUMISHI WA MUNGU- RABBON
 
Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia

Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.

Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.

Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.

Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.

Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu

Naomba kuwasilisha wakuu
Dah! Utakuwa unafaidi sana uwapo ndotoni. 😴
 
Tukiota utajiri huwa tunapambana na maisha tuupate, sasa wewe unaota kufanya hivyo je unae huyo mpenzi?? Isije kuwa ni wenge tu na upwiru unakusumbua, tafuta kwanza mpenzi halafu ufanye kama hiko unachokiota halafu mengine yatafuata

Yakijirudia then omba ushauri
Nina mke na watoto watatu mkuu
 
Kuota unafanya mapenzi (ndoto nyevu) kunapoambatana na kumwaga shahawa ni dalili una sperm count za kutosha, hautakiwi kumind hasa kama unabalehe au umeamua ujiunge kwenye ile challenge ya Nofap.

Hauna shida yoyote, baadae mwili utazoea hizo ndoto zitakata.

Kama kwenye hizo ndoto haumwagi, basi hiyo ni reflection ya mawazo Yako ya ngono
Namwaga kbs na nachukia maana unaamka umelowana kbs . Lkn pia wkt mwingine unakuwa km mnapapasana mimi sipendi sijui nifanyaje
 
Back
Top Bottom